Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlitegemea povu kutoka kweny hii ID yako nyingine. Hebu kunywa maji afu relaaaaaaaaax, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baby wangu nakupenda sana
 
Ungese tuuuu, wale wenyewe wako kibiashara nyie kazi ungese
 
Labda wewe, yaani msanii ambaye amezidiwa Kila kitu ndo umlinganishe na diamond THE G. O. A. T
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo wallah utakufa kwa pressure, huhuhuh km nakuona joto la mwili linapanda kwa kasi ya 4G. Uwiiiiiiiiiiiiih
 
Wimbo kautendea haki asiyecheza lazima awe mchawi, sauti tamu kama kasuku, mashairi yamepangika, hakuna kelele kama upande ule, wachezeka kwa rika lote,
King Kiba Oyeee,
CCM Oyeee.
 
Wimbo kautendea haki asiyecheza lazima awe mchawi, sauti tamu kama kasuku, mashairi yamepangika, hakuna kelele kama upande ule, wachezeka kwa rika lote,
King Kiba Oyeee,
CCM Oyeee.
Piga kelele kwa [emoji146] ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Nyimbo za Kiba tamu sana, utacheza na kuimba tu hata kama hautaki.
 
Back
Top Bottom