Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] npo simple sanaaaaaaah, wala sijuagi kutake serious huku mtandaoni. Relaaaaaaaaaaaaax
Mkuu
kumchukia mondi na management yake nayo ni sehemu u simple wako ?
 
Sijawahi na siwezi kumchukia Diamond, kwan haniongezei wala kunipunguzia chochote kweny maisha yangu. Ila tyuu sio fan wake, na haihusian na chuki. Hivyooooh yaaan
 
Nimesema Diamond na management yake. BTW hakuna hasiyejua kwamba humpendi Mondi.
 
It's ouk ni sawa simpendi Mondi na management yake, Aaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kila mtu nampenda jinsi alivyo. Ally Kiba nampenda ana sauti nzuri na anaimba nyimbo zenye kusikilizika hata ukiwa na mkwe wako pia hapendi show off. Dimond nampenda he is so creative na ongea yake naipenda sana akiwa kwenye interview anakua so hummble. Pia hajivungi akisikia mdundo wa wimbo wowote lazima ajitingishe hata kichwa yani kiufupi anapenda mziki na mziki ni maisha yake. Tuwapende wote na tuwasapoti.
 
Fact, achana na hao kina cocastic
 
Back
Top Bottom