Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
Tandale boy smells a lot of dough

U can't resist him .
 
Diamond Hana hela yoyote huyo labda umaarufu na Mimi ni tofauti na hao wanawake wengine, to me fame or money sometime sio my priority,most hupenda kufanya Mambo ninayojiskia na sio kuwa influenced na kitu flani,kitu kinachonipa furaha ndio nafanya failure to do so I can't my dear, honestly speaking
Ebu kuwa serious diamond Hana hela?Mtu anamiliki magari ya kifahari Kama MBW x 6 ana company kubwa ya WCB label, Ana hotel bado pia kawekeza kwenye media unasema ana hela du! hii kali
 
Hvo vitu sijui hotel ni minor issues kwangu mimi coz I don't mind material thing's kwa kweli mahalo Sana kusimamia msimamo wangu mwenyewe, ninaoishi kwenye ulimwengu wangu
 
Shangazi power [emoji2]

Feminists wanamchukia dai wa watu.

Dai nae ana moyo nyie
Feminist has nothing to do with preferences my dear, wewe kupenda Jambo flani haihusikani na lolote it's just what you want I don't hate diamond as you used kuchukia basi tu kila mtu na aina ya watu wanaopenda kulingana na chemistry na kiupaumbele that's all. Don't blame feminist to even what we like and don't like
 
Sawa mkuu
 
Hvo vitu sijui hotel ni minor issues kwangu mimi coz I don't mind material thing's kwa kweli mahalo Sana kusimamia msimamo wangu mwenyewe, ninaoishi kwenye ulimwengu wangu
Natamani nione sura yako yangenipa majibu mengi kuhusu wewe
 
Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
Manene yamkosaji hayooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom