🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji7][emoji7]nimekubalie mimi tuondoe utofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji7][emoji7]nimekubalie mimi tuondoe utofauti
Umetisha mwana.Akikujibu nitag[emoji23][emoji7][emoji7]nimekubalie mimi tuondoe utofauti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa umenifanya nicheke kiboya sana, yawezekana ulishakapigia na nyeto
Sura,muonekano wa ngozi unachanganya macho ya wengi sana.ila nakuhakikishia 99% wengi wanaumizwa kwa kauli na tabia za warembo kama hao..kwahyo HILO NENO KUOA..TOA akili ila kuwa nae freshIla Mimi Mars Ni kifaa aisee ningekuwa Ni staa ningeanza na huyu demu anafaa kwa matumizi ya binadamu hata kuoa kabisa.
Acha afaidi, usimfokee!!Aisee asithubutu kabisa, aangalie mlolongo wa single moms walioachwa na huyo Diamond atulie tu.
Hunishindi mkuu!Roho imeniuma sana
Nashangaa warumi imempitaje hii? Halaf yuko kimya tu hata comment yake sioni,Post pendwa za warumi hizi.
Comment ya kibabe sana hiiAnarusha kipindi tu huyo, wanawake wote wa mjini wanataka wanaume wenye hela. Kwa privacy huyu anaitwa kwenye private boat ya dollar 1200 tu. Anapangwa Don Fumbwe amlete anafatwa na dereva wa V8 alipo huko na analetwa.
Yani analika vizuri tu asikuchosheni, hamna mwanamke wa kichaga asiyependa pesa au mwanaume mwenye life. Tena anaweza chilwa na asipewe hata sumni akatulia zake just for fame
Hata huyo mimi mars alikataa kuwa hawez gongwa na wasanii ila ndio hao hao wanamchilla
Mwambie kiba akafie mbeleDiamond a.k.a Mediocre
yellow eyes Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa Nina urafiki wa kawaida na huyo mwanamke alikuwa ana maneno ya busara alikuwa mtu ambaye anaonekana sio mtu ambaye anapenda hela kupitia maneno yake kiasi ambacho nikavutiwa nae alikuwa anapigo kama za huyo cariha ila baada ya kuwa na uhusiano nae alinipiga vizinga mpaka nikajiuliza ndio huyu kweli? Tokea hapo nikajua asikuambie mtu mapenzi Ni pesa hayo maneno ya cariha yasikusumbue hiyo Ni technic tu wanaotumia Hawa dada zetu kukamata wanaume.Comment ya kibabe sana hii
We nae umetuchosha na neno lako "type" type, type, we kwa mfano una nini cha ziada kuwazidi wanawake wengine, we utabaki kuwa mwanamke tu na wanawake wote n dhaifu, umkatae mondi wewe?I can kabisa Yani he is not the type of guy I prefer frankly speaking I know people won't believe it
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatari mzeee, hata Mimi nimeona huyo demu anajihami tu maana ukute hata probability ya kuwa na mond almost zeroyellow eyes Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa Nina urafiki wa kawaida na huyo mwanamke alikuwa ana maneno ya busara alikuwa mtu ambaye anaonekana sio mtu ambaye anapenda hela kupitia maneno yake kiasi ambacho nikavutiwa nae alikuwa anapigo kama za huyo cariha ila baada ya kuwa na uhusiano nae alinipiga visinga mpaka nikajiuliza ndio huyu kweli? Tokea hapo nikajua asikuambie mtu mapenzi Ni pesa hayo maneno ya cariha yasikusumbue hiyo Ni technic tu wanaotumia Hawa dada zetu kukamata wanaume.
Extrovert
Ukiwa hauna pesa kwanza unakuwa limited kwenye kuchagua wanawake tofauti na mtu mwenye mapeneUkiwa na helaa huwezi jisumbua kumpenda mwanamke huo unakuwa wajibu wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sasa kama huna helaa ooho utajuta mbona
Dada yangu Kila mtu ana bei yake, hakuna asiyenunulikaDiamond Hana hela yoyote huyo labda umaarufu na Mimi ni tofauti na hao wanawake wengine, to me fame or money sometime sio my priority,most hupenda kufanya Mambo ninayojiskia na sio kuwa influenced na kitu flani,kitu kinachonipa furaha ndio nafanya failure to do so I can't my dear, honestly speaking
We nae umetuchosha na neno lako "type" type, type, we kwa mfano una nini cha ziada kuwazidi wanawake wengine, we utabaki kuwa mwanamke tu na wanawake wote n dhaifu, umkatae mondi wewe?
Sema chance ya kukufikia wewe ni ndogo mno, almost negligible, una umaarufu gani wewe mjini had useme mond hana hela, rubbish kabisa, acha wenzio wafaidi kama type yako ni kama kina gwajboy etc bas kausha usitufokee!!
Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
diddy95 wanawake wenye sura mbaya ndivyo walivyo kupitia comment za huyu dada nikajua tu atakuwa ana sura mbaya kumbe kweli mzee bidada Hana nuru?Wewe ungekuwa mzuri humu tusinge pumua na ulivyo bado unasema Mondi sio type yako?? Wewe unamzidi nini Zari au Mobetto SMH...
humu wasiokujua ndio wanakuona pini kumbe umechakaaa.
Talk is cheapBinafsi huyo Domo hata wanaume waishe wote humu duniani tubaki wawili mi na yeye simtaki
Na simtaki kwa pesa yake na simtaki pia kwa mwonekano wake
Labda over my dead body
Wanaume wanadhani kila mwanamke humu duniani akiona mwanaume ana hela ana shoboka which is totally wrong, wanawake wengine sio washamba wa hela jamani[emoji848]
Huyo mtoto ni mangi, swala ka kupenda hela liko damuni😁🤣😂yellow eyes Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa Nina urafiki wa kawaida na huyo mwanamke alikuwa ana maneno ya busara alikuwa mtu ambaye anaonekana sio mtu ambaye anapenda hela kupitia maneno yake kiasi ambacho nikavutiwa nae alikuwa anapigo kama za huyo cariha ila baada ya kuwa na uhusiano nae alinipiga vizinga mpaka nikajiuliza ndio huyu kweli? Tokea hapo nikajua asikuambie mtu mapenzi Ni pesa hayo maneno ya cariha yasikusumbue hiyo Ni technic tu wanaotumia Hawa dada zetu kukamata wanaume.
Extrovert