Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Si kweli wanawake tunapenda wanaume wanaotujali hisia zetu na kutusikiliza ingawa hela muhimu Ila ukiwa na mtu na mijihela yake hakusikilizi ni rahisi kumwacha aisee.
Generally; Mapenzi sio pesa,Ila pesa ni kichocheo kikubwa Sana Cha mapenzi kudumu,as long as kila mmoja anazijali hisia za mwenzake.🚶
 
Aisee nimeshangaa juzi tu baada ya Diamond kusema anampendaga, mara leo naona wako swimming pool duh, it's like alikua anasubiria hiyo chance itokee tu, sijui ni kiki ama kweli[emoji848]
Ile gar nnayo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Generally; Mapenzi sio pesa,Ila pesa ni kichocheo kikubwa Sana Cha mapenzi kudumu,as long as kila mmoja anazijali hisia za mwenzake.[emoji124]
Money is not everything in love affection aisee, ujue Kuna watu Wana hela Ila hajali mtu wake, Hana heshima unafikiria yatadumuje, ukiona mtu amedumu ujue hao watu Wana chemistry na wanaelewana vizuri na kila mtu anamjua mtu wake udhaifu na strethgh zake Ila kusema hela tu ifanye penzi lidumu hapana kwa kweli
 
Ndomaana nikasema, as long as kila mtu anajali hisia za mwenzake, pesa ni kichocheo kizuri Cha mahusiano kudumu.
 
Sasa tatizo tukikosa hela, tukawa na mapenzi ya kweli pekee mnatunyanyasa Sana nyie [emoji23]
Wanaume msio na hela huwa hamjiini, mko inferior hata mkigombana kiubinadamu mtaona tu vile Sina hela na mnakuwa bitter, stressed na hzo stress mnahamishia kwa wapenzi wenu,ndio maana mnakimbiwa ujue stress huambukiza
 
Tulia wewe...!! Mwanaume ukiwa na helaa umemaliza kila kitu...
Mimi nashangaa wanaovulia chupi Hadi kumzalia watoto kabisa I thought zari was smart enough kumbe na yeye walewale tu anakuwa umri tena kamzalia chap chap ili amkamate, tena Bora sikuhizi huyo diamond kiki zake za wanawake na kuzalilisha watu wamezichoka na kuona kawaida.
Na hao wanaume wanafikiria pesa ni kila kitu kwetu sisi wanawake wanakosea Sana life is more than fame and money
 
Sijamuonea wivu I was just commenting my opinion why should I feel jealous for someone using her body, chah don't take these comments personal my dear
. cariha I love you[emoji7][emoji7]can you be my girlfriend...
I loved u since day one don't hurt my feelings this is my heart's deeply message to you..
Everytime I see your texts its like I'm seeing you on my eyes[emoji7]
 
Wanaume msio na hela huwa hamjiini, mko inferior hata mkigombana kiubinadamu mtaona tu vile Sina hela na mnakuwa bitter, stressed na hzo stress mnahamishia kwa wapenzi wenu,ndio maana mnakimbiwa ujue stress huambukiza
Sio Mimi Sasa 😂😂
 
cariha I love u once again[emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]please accept my request be my galfriend [emoji7][emoji7]
 
. cariha I love you[emoji7][emoji7]can you be my girlfriend...
I loved u since day one don't hurt my feelings this is my heart's deeply message to you..
Everytime I see your texts its like I'm seeing you on my eyes[emoji7]
Jamani jamani wakupendwa nitakuwa mie kweli, eti I loved you since day, I'm truly happy if you love me
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom