Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Comment ya kibabe sana hii
 
Comment ya kibabe sana hii
yellow eyes Kuna mwanamke mmoja hivi nilikuwa Nina urafiki wa kawaida na huyo mwanamke alikuwa ana maneno ya busara alikuwa mtu ambaye anaonekana sio mtu ambaye anapenda hela kupitia maneno yake kiasi ambacho nikavutiwa nae alikuwa anapigo kama za huyo cariha ila baada ya kuwa na uhusiano nae alinipiga vizinga mpaka nikajiuliza ndio huyu kweli? Tokea hapo nikajua asikuambie mtu mapenzi Ni pesa hayo maneno ya cariha yasikusumbue hiyo Ni technic tu wanaotumia Hawa dada zetu kukamata wanaume.
Extrovert
 
I can kabisa Yani he is not the type of guy I prefer frankly speaking I know people won't believe it
We nae umetuchosha na neno lako "type" type, type, we kwa mfano una nini cha ziada kuwazidi wanawake wengine, we utabaki kuwa mwanamke tu na wanawake wote n dhaifu, umkatae mondi wewe?

Sema chance ya kukufikia wewe ni ndogo mno, almost negligible, una umaarufu gani wewe mjini had useme mond hana hela, rubbish kabisa, acha wenzio wafaidi kama type yako ni kama kina gwajboy etc bas kausha usitufokee!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatari mzeee, hata Mimi nimeona huyo demu anajihami tu maana ukute hata probability ya kuwa na mond almost zero
 
Ukiwa na helaa huwezi jisumbua kumpenda mwanamke huo unakuwa wajibu wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sasa kama huna helaa ooho utajuta mbona
Ukiwa hauna pesa kwanza unakuwa limited kwenye kuchagua wanawake tofauti na mtu mwenye mapene
 
Dada yangu Kila mtu ana bei yake, hakuna asiyenunulika
 

Hiki kidemu ni kibaya jamani hakana chochote trust me ukiona hata picha yake unaweza tapika. Hakana nuru kembamba sasa ukiona comment zake humu aseeeeee.
 

Wewe ungekuwa mzuri humu tusinge pumua na ulivyo bado unasema Mondi sio type yako?? Wewe unamzidi nini Zari au Mobetto SMH...
humu wasiokujua ndio wanakuona pini kumbe umechakaaa.
 
Wewe ungekuwa mzuri humu tusinge pumua na ulivyo bado unasema Mondi sio type yako?? Wewe unamzidi nini Zari au Mobetto SMH...
humu wasiokujua ndio wanakuona pini kumbe umechakaaa.
diddy95 wanawake wenye sura mbaya ndivyo walivyo kupitia comment za huyu dada nikajua tu atakuwa ana sura mbaya kumbe kweli mzee bidada Hana nuru?
 
Talk is cheap
 
Huyo mtoto ni mangi, swala ka kupenda hela liko damuni😁🤣😂
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…