Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Funny enough ni kua, wote wanaoshobokea mastar wanakua na ushamba kwenye damu zao,Exactly.
Mimi nakubaliana wewe na cariha na mifano ipo.
Mb Doggy aliwahi kuwa kwenye Peak kubwa mnoooo, na akawa anamtaka Nancy Sumary anamtungia mpaka nyimbo [emoji1][emoji1].
Ila mdada hakuwa hata na mapenzi naye.
Msanii wa bongo awe wa kike au wakiume wakitongozwa kitu cha kwanza kinawajia wewe ndio uwape hela, wasanii wa bongo wanawaza kuhongwa tu, wanaona kama kutoka na wewe anakusafishia nyota so na wewe u need to pay back,
Ukishawajua hawakusumbui hao mabwege.