Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Exactly.

Mimi nakubaliana wewe na cariha na mifano ipo.

Mb Doggy aliwahi kuwa kwenye Peak kubwa mnoooo, na akawa anamtaka Nancy Sumary anamtungia mpaka nyimbo [emoji1][emoji1].

Ila mdada hakuwa hata na mapenzi naye.
Funny enough ni kua, wote wanaoshobokea mastar wanakua na ushamba kwenye damu zao,

Msanii wa bongo awe wa kike au wakiume wakitongozwa kitu cha kwanza kinawajia wewe ndio uwape hela, wasanii wa bongo wanawaza kuhongwa tu, wanaona kama kutoka na wewe anakusafishia nyota so na wewe u need to pay back,

Ukishawajua hawakusumbui hao mabwege.
 
Kupigwa miti kwa mwanamke ni kawaida. Na kuzaana ni nature, Wewe ulitaka azae na kobe.

Hapa watu wanazungumzia jambo ambalo ni dhahili. Siyo kila mwanamke anamtaka Diamond.
Maana kwa haki ilivyo hata ninyi mashabiki zake type za kina Juma Lokole, Aristote sidhani kama jamaa hawafukui mtaro
Hahaaa umenifuraisha Sana mkaruka
 
Sijasoma comments lakini kama ndivyo walivyosema kua kila mwanamke wa bongo anamtaka Diamond wamekosea sana,

Kila mwanamke ana vigezo vyake, si kila mtu anataka kutoka na mtu maarufu, si kila mtu anataka kutoka na kicheche, si kila mtu anataka kutoka mwanaume mwenye sura iliyopinda na kubonyea at the same time, lol

cariha big up kwa msimamo wako, achana na hao machokoraa.
Wewe nakukubali ni akili kubwa
 
Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Dah aisee kweli nimeamini mwalimu wa wanawake nae nikipofu. Wewe ndio wa kuongea maneno hayo....?! Ha ha ha ha ha ha dah.

Anyways, tufanye hivi, unanjaa ya siku mbili, halafu umewekewa hapo chakula unasema sitaki kula maana hicho chakula sio cha hadhi yangu..... Ha ha ha ha ha ha eti mtu mwenye njaa ya siku mbili anasomaga menyu.... Si anasema leta chochote.
 
Acheni kumuattack Cariha, yeye ameelezea msimamo wake kuwa siyo kweli kwamba kila mwanamke wa bongo anatamani kutoka na Diamond, madai hayo siyo kweli , na ameelezea kwa nini siyo kweli , sasa badala ya kumjibu kwa hoja naona mmeanza kumshambulia yeye binafsi kuwa ana sura ya hivi na vile mara mwembamba , hang’ai n.k

Nani anataka Mwanaume cha wote?!

Sasa nawauliza huo ubaya wake mnaupimaje?

Acheni mfumo dume wa kuwa embarrassing wanawake !

Mtakeni radhi !
Wamefilisika tu Hawa hawajui lolote imagine my simple explanation hawajaelewa vipi kwenye Mambo mengine si watakuwa janga la kitaifa. Wasifikiri kuandika ubaya nitachamge what I think wanajisumbua tu, na hyo wa wembamba sijui Nani kawadaganya Mimi kibonge tu
 
Anarusha kipindi tu huyo, wanawake wote wa mjini wanataka wanaume wenye hela. Kwa privacy huyu anaitwa kwenye private boat ya dollar 1200 tu. Anapangwa Don Fumbwe amlete anafatwa na dereva wa V8 alipo huko na analetwa.

Yani analika vizuri tu asikuchosheni, hamna mwanamke wa kichaga asiyependa pesa au mwanaume mwenye life. Tena anaweza chilwa na asipewe hata sumni akatulia zake just for fame

Hata huyo mimi mars alikataa kuwa hawez gongwa na wasanii ila ndio hao hao wanamchilla
Ha ha ha ha true pesa ni remote ya kumgeuza demu mwenye njaa vile unataka. Na kwa bahati mbaya Tanzania especially Dar, mademu ni wananjaa ile mbaya yaani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Dah aisee kweli nimeamini mwalimu wa wanawake nae nikipofu. Wewe ndio wa kuongea maneno hayo....?! Ha ha ha ha ha ha dah.

Anyways, tufanye hivi, unanjaa ya siku mbili, halafu umewekewa hapo chakula unasema sitaki kula maana hicho chakula sio cha hadhi yangu..... Ha ha ha ha ha ha eti mtu mwenye njaa ya siku mbili anasomaga menyu.... Si anasema leta chochote.
Hayo Mambo ya njaa ni irrelevant na kitu nilichoandika hapo no applicability kabisa Toka lini mtu akawa na njaa afate mtu badala ya kula msosi, na Mimi sijawahi kukosa chochote Hadi nifike nijizalilishe kiasi hicho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom