Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Hata mm naamini sio wanawake wote ni wajinga...
big up sana kwa msimamo huu......
mpo wachache sana....
wengi wao ni kina binti chausiku..
you deserve to be a real woman.....
beauty with brain.....
sio beauty fools...
 
Hata mm naamini sio wanawake wote ni wajinga...
big up sana kwa msimamo huu......
mpo wachache sana....
wengi wao ni kina binti chausiku..
you deserve to be a real woman.....
beauty with brain.....
sio beauty fools...
Thank you so much[emoji122][emoji122]
 
Kwa hii comment ulipomalizia na mfumo dume tayari umenipa doubt kuwa mnaweza kuwa mnajuana na cariha, au ni wewe mwenyewe unatumia account nyingine.

But kimsingi hapa hatumzungumzii diamond kama mwanaume, tunazungumzia diamond kama mtu mwenye pesa zake.....

Wanawake hawana time na yeye hadi wajue anapesa. Mengi yule ni mzee Jackline Ntuyabaliwe akaanza leta mazoea hadi akamtomba. Sema mzee nae mshamba wa mapenzi alitakiwa atombe amkwepe mzee kaanza kuleta it might be you na hajui kuwa yule mwanamke ni jambazi.....
 
Hahaaa uongo wangu una daganya ili iweje umeshindwa hoja for ur information sio mwembba nimejaliwa neema za Allah, na shape nzuri sijisifii kabisa inshort nimeumbika kuliko ukoo wenu acha kudaganya humu JF,hoja ijibiwe kwa hoja
Tuma picha tuone
 
Kwahyo kila mtu anayetofautiana na wewe humu ni I'd nyingine yangu sio[emoji23][emoji23][emoji23] LMAO
 
Wewe ni mnafiki ukizeeka utakuwa mchawi
Ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unafiki wangu upo wapi mpenzi na unajua nakuattack kwasababu nakulove.... C'mon....
 
Me nina hamu nikajue maana kanapenda kuongea pumba.... Msyuuuuuu
Hata ukinijua Mimi msimamo wangu uko pale pale leo Mimi sio single mother,Malaya nimehamia kwa wembamba eeeh mumefilisika hoja kweli nitaendelea kuwa pepe humu JF tu sibadiliki kabisa
 
Wewe umezoea kugonga kimasahara tena wale vichaa sasa usifikirie wanawake wote ni ka hao vichaa
HAKUNA MWANAMKE ANAEWEZA KUSOMA NO MBELE YA PESAA...!! Mbaya zaidi na Umaarufu anao... Anaweza kulaa ukoo wenu mzimaa na kelele zako hizoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata mm naamini sio wanawake wote ni wajinga...
big up sana kwa msimamo huu......
mpo wachache sana....
wengi wao ni kina binti chausiku..
you deserve to be a real woman.....
beauty with brain.....
sio beauty fools...
Hakunaa kitu hapoo mkuuu...huyooo anat...mbekaaa mapemaa sanaa
 
Na Mimi napenda kuwa controversial ctaki binadamu anielewe kabisa na ni adjust kulingana na mazingira hata wewe be dyanamic accept changes
 
Sasa nakwambia Mimi naishi maisha yangu sitegemei favor ya mwanaume, I work hard chini ya jua namtegea Mungu nakujishugjulisha that's all
We muongo. Haumtegemei MUNGU hata kwa mawazo yako tu unaonekana.........maana upo kinyume na taasisi yake ya ndoa... Sasa utakuwaje unamtegemea na unamsaidia shetani kujenga kizazi cha nyoka....
 
Kanatombeka haka tena vizuri ila me nina wasi wasi hata kama kana mvuto maana kana roho kavu kama mti wa dawa....
Hahaaa pole kijana leo mtasema yote mkimaliza ya mvuto sijui mtakuja na jipya lipi[emoji23][emoji23][emoji108][emoji849]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…