secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hata mm naamini sio wanawake wote ni wajinga...Diamond sio hadhi yangu kwa kweli namwona mjingajinga hivi flani pia Mimi staki umaarufu wa uzinifu yeye aendelee na hao kina mobeto ndio hadhi yake kwa kweli how can I date a tandale boy, mimi napenda wanaume timamu kichwani so diamond is not my type
big up sana kwa msimamo huu......
mpo wachache sana....
wengi wao ni kina binti chausiku..
you deserve to be a real woman.....
beauty with brain.....
sio beauty fools...