Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Mbona maandishi yako yanajipinga?
Hahahaha sio kwamba hana pesa, Whozu ana utoto mwingi bado still ana akili za kibishoo. Sio kila demu anaangalia hela tu kuna factor zingine wanazingatia
 
Mobeto vipi Tena tulisikia ana ujauzito wa Mondi
 
Huu muingiliano wa hawa wasanii kuna haja sasa kama serikali watoe elimu kwa wasanii wajali afya zao mapenz ya wasanii hayadumu wakishaachana wanaendelea kakutana na watu wengin
 
😅😅 kwamba anawahisha mzigoo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…