Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Team wcb toeni ufafanuzi makonda alisema mahari tayari imeshatolewa kwa hiyo bibi harusi ni mimimars na kama sijakosea kwenye sherehe ya esma walisema harusi ya bwana nasibu mwezi 8 ila umeisha na kwa kauli ya lokole kasema harusi itakuwa wiki nzima
NB:Nasubiri ndoa nadhani itakuwa kwa Mkapa
 
Mkuu mimi nimefanya tafakuri na nimefikia hitimisho kuwa hawa hawana mahusiano, ila huenda Mimi Mars ndiye msanii mpya atakayetangazwa chini ya label ya WCB atakayetangazwa. Nimetazama ile video walikuwa kwenye swmming pool nikaunga picha yuko studio nikawaza hivyo.
Hiv kwa akili ya kawaida Diamond ataanzaje kumuacha salama hiv hiv tu kirahisi Mimi Mars?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom