Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Alikiba huwa anapeleka mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kaingia choo Cha kike diamond hajawahi kulalamika kutopigwa ngoma zake Bali alitoa ufafanuzi kwanini hizo redio hawapigi nyimbo zake.
 
Mkuu, uliandika ukiwa usingizini? Maana title na content vinatofautiana, mimi nilitegemea kuona ushahidi kudhibitisha ulichokiandika kwenye title yako.
 
Ndo kina hao mnawazungumzia hapa sijawahi kuwaona msondo ngoma wala vijana jazz,,?
 
Alaf kuna mtu anakuja aseme mawingu Ndo wanapenda bifu na kina jeje

god is good
 
Na Sku izi Namsikia Komando J kwa Mawingu tena Karudi kwa Kasi ya Corona
 
Kwani nyimbo huwa zinapelekwa uko ??? Hahahahahaha hahahaha na zile za eminem na jay z huwa wanawapelekea wasafi ili wazipige hahahahahaha hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruttashobolwa ni mshabiki kindaki ndaki,mkereketwa au mfia leble wa msanii diamond platnumz pamoja na WCB,naomba tuzingatie hili kwanza.

hiki alichokiandika ana uhakika nacho kwa asilimia fulani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…