Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Me n shabiki wa Clouds
pia ni shabiki wa muziki mzuri haijalishi kaimba kiba, harmonize, barnaba or diamond cnaga ushabiki wa kitimtim
Kwenye maswala ya bifu baina ya media na artist or artist na artist hayo naonaga hayaniusu sana

Inshort ni kwamba ya ngoswe tumuachie ngoswe
hatujui mambo ya ndani zaidi baina yao
 
Diamond atakuwa fala kupiga nyimbo za Harmonize zinazotoka sa hv , atakuwa bonge la faaala saaana , yaan umboost competitor wako ,?? Swala hapo ni kupiga nyimbo zilizochuja za mshindan au kutopiga kabisa .... Mshindan ni mshindan tuu huwez kumchekea wakat yeye anakulia timing ,.....
Nakumbuka maneno ya MasterJ , alipohojiwa kutokana na kuhama Kwa konde boy Wasafi , akasema lazima waumizane tuu , fairness inayoonyeshwa ni ya kinafki tuu , ila reality kila mmoja anamuona mwenzake nin adui ....
 
Pumba
 
Hivi huu utaratibu wa media za bongo kutaka wapelekewe nyimbo ili wazicheze, ni lini akina Queen B waliwahi kuwaletea nyimbo zao?
 
Ruttashobolwa ni mshabiki kindaki ndaki,mkereketwa au mfia leble wa msanii diamond platnumz pamoja na WCB,naomba tuzingatie hili kwanza.

hiki alichokiandika ana uhakika nacho kwa asilimia fulani.


Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli, maana huwa ana taarifa zile zenyewe kabisa ukiacha hao wadaku wengine.
 
Unajua kinachotuponza sisi wa bongo ni unafiki tu leo hii watu wanataka ushahidi wa kuwa wapi Mond amekataza nyimbo ya Harmo isipigwe ila kipindi cha Ruge hawakuwa na ushahidi na walishupalia hii kitu
 

Acha mahaba

Kwa nn hawafosi za harmonise?
 
AKAUNTI HAIJAIBWA KWELI??..HUYU NI WEWE AMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenichekesha Hadi manager kanishangaa
CHITOHORI FM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hapo Sasa mwisho wa sku
Mawingu wanabak kua right na
Msimamo wao na wanazid kua juu

Mtu anaanzisha lig baada ya mwez mmoja
Anafyata kama mbwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

god is good
 
Unajua kinachotuponza sisi wa bongo ni unafiki tu leo hii watu wanataka ushahidi wa kuwa wapi Mond amekataza nyimbo ya Harmo isipigwe ila kipindi cha Ruge hawakuwa na ushahidi na walishupalia hii kitu

Hahaha ndio ushangae sasa kumbe mkuki kwa nguruwe!

Tulitegemea Diamond asifanye ambayo alikuwa anayapinga na kuona ni unyonyaji mkubwa!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Acha mahaba

Kwa nn hawafosi za harmonise?

Lakini za Alikiba wanafosi na za kina Drake na wasanii wa nje!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kama ruta kasema itakua kweli maana huyu shabiki wa wcb kindakindaki. Mimi sisikilizi redio hata sijui kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…