Diamond amesafishiwa Barabara na wanambeya

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa wakiimba Simba Simba pamoja na kuimba wimbo baba lao kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

NB: binafsi nimefuraishwa na hili tukio maana tumekuwa tunayaona haya kwa nchi za wenzetu hasa wasanii wa Marekani Sana.Hii inaonesha jinsi gani watanzania wanapenda mziki wetu sana

#Musicstartathome
 
Na ulimi ao ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niletee hata picha moja wasanii wa marekani wakisafishiwa barabara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi na Dr Tulia kamlipa ngapi Diamond kwa kumpa promo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua ni sh ngapi kalipwa ila yule ni mwanasiasa lazima atumie ushawishi wa mondi kuteka hisia za wanambeya ili achukue Jimbo.Nimeona pia alimkaribisha mondi nyumbani kwake na wakafanya Kama tafrija fulani hivi
 
Ukitoa buku mbili kwa kila kijana na mafuta ya buku mbili kila bodaboda wanakusafishia na kusindikiza msafara, usishangae ni sehemu ya usanii.
Kwa hiyo unataka kuniambia Yale mafuriko ya watu wamelipwa?
 
Domo keshaanza siasa chafu aiseee misukule yake yote naikaribisha CCM. CCM oyeeeeee huu ndo mwendo wa team domo kuanzia mwakani.

Show ilikua mbovu sana
 
At
Ukitoa buku mbili kwa kila kijana na mafuta ya buku mbili kila bodaboda wanakusafishia na kusindikiza msafara, usishangae ni sehemu ya usanii.
ata Mimi nilikuwa najua haya mapokezi ya boda boda watu wanafanya tu kwa mapenzi yao tu kwa msanii kumfuata gari yake kwa nyuma kumbe vijana wanakuwa wameshalipwa chao
 
Domo keshaanza siasa chafu aiseee misukule yake yote naikaribisha CCM. CCM oyeeeeee huu ndo mwendo wa team domo kuanzia mwakani.

Show ilikua mbovu sana
Wewe ni chama gani?
 
At

ata Mimi nilikuwa najua haya mapokezi ya boda boda watu wanafanya tu kwa mapenzi yao tu kwa msanii kumfuata gari yake kwa nyuma kumbe vijana wanakuwa wameshalipwa chao
Diamond ni msanii mwenye umaarufu mkubwa na mwenyekufanya wafuasi wengi sana kwa jina lingine wanaitwa team diamond haitaji kulipa watu ili wafanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…