Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa wakiimba Simba Simba pamoja na kuimba wimbo baba lao kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
NB: binafsi nimefuraishwa na hili tukio maana tumekuwa tunayaona haya kwa nchi za wenzetu hasa wasanii wa Marekani Sana.Hii inaonesha jinsi gani watanzania wanapenda mziki wetu sana
#Musicstartathome
NB: binafsi nimefuraishwa na hili tukio maana tumekuwa tunayaona haya kwa nchi za wenzetu hasa wasanii wa Marekani Sana.Hii inaonesha jinsi gani watanzania wanapenda mziki wetu sana
#Musicstartathome