Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

Huyu mama kama mwaka 2014 alikua na miaka 55 means sasa ana miaka 60. Bob Jiwe kazaliwa 29 October 1959. Bi Sandra kazaliwa 07 July 1959.

Yaan kifupi Bi Sandra ni mkubwa kuliko hata Bob Jiwe.
 
Basi nikajua mshikaji yuko vizur kumbe nae bado ni wa Magari used ambayo ata sisi ndio tunatumia amuna kitu apo mbwembwe tu.
Uangaliege na mwaka wa sridi we kayumba
 
Kama mwaka 2014 alinunuliwa Lexus kama zawadi na ukiachana na the fact kwamba hatujawahi ona akiendesha, leo hii tena tunasikia kamnunulia sijui v8.. Ina onyesha anamtumia mama yake kutafuta headline. Hamna cha zawadi wala nini
 
Wewe ni taahira?

Mbona huwa anaendesha V8 nyeupe kwenda nayo dukani kwa Esma kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…