Kudadadeki......... kama kafanya hivyo kweli misifa ya kijinga
Hata kama watu wana T...CRX yeye anamnunulia gari T...CMM huoni hapo kuna kamuchezo
Nilikua sijui kama Diamond ana mihela namna hiii!! Dah... Ni shiiidaaa! Leo nilikua duka moja Kariakoo mida ya mchana ( saa nane, tisa hivi) nikasikia Redio ya mjengoni iki muhoji Mama yake Diamond... Akasema ana miliki mkufu wenye thamani ya Tsh. 60,000,000/-, bracelet yenye thamani ya Tsh. 30,000,000/- na Hereni za Laki nne. Kwa hesabu za haraka hapo Jumla ni 94,400,000/- ( na sasa kapewa gari la 35,000,000/- ). Nakajiuliza maswali mengi sana hapo, bila kupata jibu la uhakika....mwisho nikajisemea tu kimoyo moyo.."muziki unalipa".
Hahahah mkufu wa 60,000,000 hahaha huyo mama nae kama mwanae
Maskin akipata mat@ko hulia mbwata, mbwe mbwe zote wanaish chumba na sebure sinza mor mmh wanayaweza , sasa wanamuhoj mama ndomo kuhus nn au na yeye kawa promoter siku iz maana hawachelew
Gari ya mama ndomo na wema zote ni harrier lexus, wote wanatumia gar zinazofanana ,tofaut ni rangi ,mama ubaya gar lake la pink ,mama ndomo silver
Usitake kuniambia ma wewe umeamini hilo gari limenunuliwa kweli? Hao attention seeker tu wanajua jins ya ku make headline, sasa mama sanura sijui na harrier lexus wap na wapi , si anataka tu kumuua mama yake huyu, mmh simpatii picha mama ndomo ndani ya lexus, watamkomaje mtaa wa pili?
huo unaitwa wivu sana kama vp na ww wanunulie wazazi wako.
Hahahah mkufu wa 60,000,000 hahaha huyo mama nae kama mwanae
Itakuwa typinh error badala ya elfu 60 akaandika hivyo,msamehe mwandishi.
Mi mbona nilijuaa zamanii au wameongeza ziroo tu
ebu ntolee kijambio hicho, mi wazazi wangu hawakuchelewa kuja mjini nyambafu wewe
binamu kwani esma muarabu?aka makombo ya bibi!
ebu ntolee kijambio hicho, mi wazazi wangu hawakuchelewa kuja mjini nyambafu wewe
Aaaha aaha usinichekeshe binamu, mil 90 ya kuandika au kutamka? Hiyo bei ni gari lake lile la thaman Audi q7 ila kaka clement alimpokonya akabaki na hiyo lexus