Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38

Kudadadeki......... kama kafanya hivyo kweli misifa ya kijinga

Kwa hujawah ona prado znauzwa kwa bei tofauti.yaan mijitu mingine hata kutumia akiki kidogo hawataki.mbna magari ya jina moja yanamatoleo tofauti.sas kisa m38mnapga jungu.nyie izo chuki zenu soon mnaenda kua walozi
 
Nilikua sijui kama Diamond ana mihela namna hiii!! Dah... Ni shiiidaaa! Leo nilikua duka moja Kariakoo mida ya mchana ( saa nane, tisa hivi) nikasikia Redio ya mjengoni iki muhoji Mama yake Diamond... Akasema ana miliki mkufu wenye thamani ya Tsh. 60,000,000/-, bracelet yenye thamani ya Tsh. 30,000,000/- na Hereni za Laki nne. Kwa hesabu za haraka hapo Jumla ni 94,400,000/- ( na sasa kapewa gari la 35,000,000/- ). Nakajiuliza maswali mengi sana hapo, bila kupata jibu la uhakika....mwisho nikajisemea tu kimoyo moyo.."muziki unalipa".

Hahahah mkufu wa 60,000,000 hahaha huyo mama nae kama mwanae
 
Hahahah mkufu wa 60,000,000 hahaha huyo mama nae kama mwanae

Maskin akipata mat@ko hulia mbwata, mbwe mbwe zote wanaish chumba na sebure sinza mor mmh wanayaweza , sasa wanamuhoj mama ndomo kuhus nn au na yeye kawa promoter siku iz maana hawachelew
 
Maskin akipata mat@ko hulia mbwata, mbwe mbwe zote wanaish chumba na sebure sinza mor mmh wanayaweza , sasa wanamuhoj mama ndomo kuhus nn au na yeye kawa promoter siku iz maana hawachelew

Hiyo hela ya mikufu na gari ni 118million halafu wanakaa ghetto ukoo mzima,hiyo familia inapenda sifa balaaa
 
Usitake kuniambia ma wewe umeamini hilo gari limenunuliwa kweli? Hao attention seeker tu wanajua jins ya ku make headline, sasa mama sanura sijui na harrier lexus wap na wapi , si anataka tu kumuua mama yake huyu, mmh simpatii picha mama ndomo ndani ya lexus, watamkomaje mtaa wa pili?

huo unaitwa wivu sana kama vp na ww wanunulie wazazi wako.
 
Mbona la Wema walisema ni milion 90 hahhhaa

Aaaha aaha usinichekeshe binamu, mil 90 ya kuandika au kutamka? Hiyo bei ni gari lake lile la thaman Audi q7 ila kaka clement alimpokonya akabaki na hiyo lexus
 
Aaaha aaha usinichekeshe binamu, mil 90 ya kuandika au kutamka? Hiyo bei ni gari lake lile la thaman Audi q7 ila kaka clement alimpokonya akabaki na hiyo lexus

Binamu wabongo kwa kuongeza zero ni mahodariii
 
♥Diamond ndio tajiri wa kwanza tanzania kununua magari mapya yaliyosajiriwa zamani
~BX .....V8
~AY........Fun cargo
~CM........Harrier Lexus
 
Back
Top Bottom