Diamond amnunulia mama yake gari la mil.38


we umesamehe wangap waliokuchukulia bwanako??ulitaka amsamehe nae apewe gari ndo usuuzike??we ndo bure kbissaaa.kusamehe ni jambo la moyoni.waeza msameh mtu na wote mkala 50 zenu.ndo mana na bana kanumba hakula jasho la mwanae kwa usaliti huo huo.
 
Binamu princess sayuni ebu achana na huyo boko haramu hana nyimbo mpya
 
Last edited by a moderator:
we umesamehe wangap waliokuchukulia bwanako??ulitaka amsamehe nae apewe gari ndo usuuzike??we ndo bure kbissaaa.kusamehe ni jambo la moyoni.waeza msameh mtu na wote mkala 50 zenu.ndo mana na bana kanumba hakula jasho la mwanae kwa usaliti huo huo.

Unachekesha kama sio kufurahisha unawaza mabwana wengne hatuko hvo wewe labda mabwana wanaokupumulia mbona gari used alitoa hadharani sembuse kwa aliyemleta duniani au ndo show off za kijinga gari ni jambo la kawaida sana sasa kwa malimbukeni ndo wanaona mwisho wa matatizo poor you think out of the box
 
ni kweli "babake" ana makosa. neno baba yake litabaki kuwa palepale kwamba ni mzazi. ndiyo maana kukawa na neno "SAMEHE"/Msamaha.. kanunue dictionary ya TUKI then tafuta hilo neno maana yake. hivi kusingekua na neno kusameheana si tungeish kishetan sana hapa duniani? tena tungefanyiana maajabu ambayo hata huyo shetani mwenyewe angeogopa,kama kweli we ni shabiki wa kweli na unampenda msanii wako,na ungependa apendwe duniani na hata ahera,bas omba mungu hao ndugu wa msanii wako wapatane, sio kutoka povu tu from no where.. kumbuka shetan anasema kupitia binadamu, na sio kila mtu atakupenda lazma upate haterz ndo utafanikisha..

peace 2 binamu wote

#Team_Babaake_Dimond
 
diamond asije kurusha ngumi tu akiona baba zake wa kambo viserengeti boys wanavyosukuma hilo ndinga....si unajua bongo vijana wanavyopenda kuteleza na ganda la ndizi!
Duh hahaha...! Aisee jamiiforums mnajua kudis. Hiyo kali.
 

Yaaan maskini unavyoumia na kuongea kwa hisia.dahhh mungu akulinde angalau upate na wewe kazawadi ka boda boda uwe unapata ka kukupeleka kazini.pole sana mungu atakujalia ila kumbuka roho mbaya haijengi.unapoenda utakuja kua mchawi maana roho imejaa kutu.utaponda sana na utaombea mabaya bt dau la kuku halimpati mwewe.
 

Usiusemee moyo wewe ciwezi kuumizwa na kitu kama hicho cha show off character huo ndo ukweli wa mambo u ukubali au ukatae kwa hii dunia tunayoishi kwangu gari cjui nini ni vitu vya kawaida since niko young kabisa ila kwenu malimbukeni mkitoa tu gari mpaka mtangaze kwenye media kwa wengne normal sana acha kuandka pointless sometimes na uelewa wa mambo kwako ni mdogo usinge andka pumba unajizalilisha tu wewe utakua mwanga kama unaendaga ni wewe hayo mambo hata cyajui kama uelewa wako unawaza uchawi wa dark ages pole tatizo uswahili umekuzidi kwahyo hicho kigari waona lambogini you are useless and you.have poor thinking and i dont give a fu..k
 
Umemaliza? anayemjibu '--------' naye ni.......
Eti mie mburula? you don't know what you are talking about na you shall never know.
Endelea wewe ' mjuaji'
 

Dah Mkuu mwanzo uliongea vizuri, ulipofika hapo kwenye red ukachemsha kidogo, Kwani kanumba kafa akiwa zaidi ya 30yrs??Kafa young tu, Usiongee kama wewe ni ndio Sir God, kifo hakina umri usiseme they still have time. Mtoto anaweza zaliwa leo na kufa baada ya wiki moja tu kama hujui, Ukipata nafasi tumia hakuna cha kusema I still have time, You are not God.
Note : Nimeona unatoa mifano ya wanasiasa ambao nao hawajafanya kitu, Mkuu hata siku moja ukitaka kufanikiwa usijifananishe ama kujiringanisha na walioshindwa ila walioshinda
PEACE.
 
Warumi, hebu elezea kidogo kuhusu zawadi ya hizo gari V8 tulizooneshwa majuzi kwenye "hepi bethidei tuyu". Ni kweli kabisa kabisa, ama changa?
 

= nasubiri

Hujaacha tu ujinga niliokushikia fimbo kwa miaka kadhaa humu JF?

Punguani wahed.
 
Basi nikajua mshikaji yuko vizur kumbe nae bado ni wa Magari used ambayo ata sisi ndio tunatumia amuna kitu apo mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…