Mmmh ina maana wewe una details za kila mtu anayefanya na aliyefanya kazi clouds? Sawa mzee ruge lakini kuna bashite wengi tu hata hapo ofisini kwako ulimuajiri mtu kwa jina la george huku jina lake ni Romeo.umeanza kuwa kama polisi wa bongo na ile kauli yao ya lete ushahidi? nani kakuambia clouds wanaulizaga vyeti??babu wa kitaa ana cheti gani pale au yule perfect cripsin aliyeacha shule form one ana cheti gani?
Kinachokuuma ni nini? kwani jina la George ni baya au umependa Romeo?? duh kwa hiyo alibadili hadi jina la babu likawa Jones/?
Ndindindi anasema ni majirani kule tandale [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Kweli kabisa,,Ila nimeangalia iyo video,,,nimemuona na huyo Rommy nae anaimba, ,,kumbe nae ni muimbaji pia,,, Ila nahisi watakuwa ni ndugu kweli
Serikalini hakuna pesa..usijidanganye ni wizi na rushwa tuuInategemea serekalini unafanya kazi ipi
kuna watu wana mawe usipime.......
sema awamu hiii ukileta nyodo
wanakula kichwa
Ndio hela hiyo hiyo ya wizi na rushwa ama kuna angleSerikalini hakuna pesa..usijidanganye ni wizi na rushwa tuu
Hizo ni kiki tu kwa sisi tunafahamu hayo mambo. Hapo hakuna cha nyumba wala uwanja ila hiyo inatumika kuwajenga wenzako ndugu. Zinduka!
hakuna kitu hapo..tra walimdai kodi..akapanua domo kulalama hadi kidaka tonge kikaonekana