Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Mmmh ina maana wewe una details za kila mtu anayefanya na aliyefanya kazi clouds? Sawa mzee ruge lakini kuna bashite wengi tu hata hapo ofisini kwako ulimuajiri mtu kwa jina la george huku jina lake ni Romeo.umeanza kuwa kama polisi wa bongo na ile kauli yao ya lete ushahidi? nani kakuambia clouds wanaulizaga vyeti??babu wa kitaa ana cheti gani pale au yule perfect cripsin aliyeacha shule form one ana cheti gani?
Kinachokuuma ni nini? kwani jina la George ni baya au umependa Romeo?? duh kwa hiyo alibadili hadi jina la babu likawa Jones/?