Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

umeanza kuwa kama polisi wa bongo na ile kauli yao ya lete ushahidi? nani kakuambia clouds wanaulizaga vyeti??babu wa kitaa ana cheti gani pale au yule perfect cripsin aliyeacha shule form one ana cheti gani?
Kinachokuuma ni nini? kwani jina la George ni baya au umependa Romeo?? duh kwa hiyo alibadili hadi jina la babu likawa Jones/?
Mmmh ina maana wewe una details za kila mtu anayefanya na aliyefanya kazi clouds? Sawa mzee ruge lakini kuna bashite wengi tu hata hapo ofisini kwako ulimuajiri mtu kwa jina la george huku jina lake ni Romeo.
 
Kweli kabisa,,Ila nimeangalia iyo video,,,nimemuona na huyo Rommy nae anaimba, ,,kumbe nae ni muimbaji pia,,, Ila nahisi watakuwa ni ndugu kweli
Ndindindi anasema ni majirani kule tandale [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Kwenye Harusi Ahadi hewa kwa maharusi ni kitu cha kawaida sana.
 
hakuna kitu hapo..tra walimdai kodi..akapanua domo kulalama hadi kidaka tonge kikaonekana

Hiviiii hao mamilionea wooote wanaokwepa kodi/kuwa wagumu kulipa, huwa ni kweli hawana kitu? think twice! Diamond ana nyumba nyingi, yule ni ndugu yake, kumpa nyumba moja unalinganisha na kodi ya tra? umesikia mama dai naye katoa kiwanja..... think bigger
 
Back
Top Bottom