Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Najua anaitwa Romeo na ni muislam.Ni jina feki wenyewe wanaita swagg,na wewe unammini anaitwa Rommy Jones?basi diamond haitwi naseeb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua anaitwa Romeo na ni muislam.Ni jina feki wenyewe wanaita swagg,na wewe unammini anaitwa Rommy Jones?basi diamond haitwi naseeb
nenda clouds tv, office ya human resources manager kaulize alivyokuwa ameajiriwa pale alikuwa analipwa mshahara kwa jina gani.Najua anaitwa Romeo na ni muislam.
Anaitwa Romeo.nenda clouds tv, office ya human resources manager kaulize alivyokuwa ameajiriwa pale alikuwa analipwa mshahara kwa jina gani.
bibi weeee,embu jaribu kummuuuliza mtu yoyote wa clouds aliyefanya naye kazi pale atakuambia...mwishow hamisi mwinjuma utakuja kuapa kwa mungu kwamba anaitwa mwan fa..kwa hiyo tuseme anaitwa romeo na baba yake ndo anaitwa Jones? bila shaka utaniambaia hata mama yake diamond na mama yake george a.k.a rommy ni mtu na mdogo wakeAnaitwa Romeo.
Haya tuseme anaitwa george according to you. Wangap wanabadilisha majina wakisilimu?bibi weeee,embu jaribu kummuuuliza mtu yoyote wa clouds aliyefanya naye kazi pale atakuambia...mwishow hamisi mwinjuma utakuja kuapa kwa mungu kwamba naitwa mwan fa..kwa hiyo tuseme anaitwa romeo na baba yake ndo anaitwa Jones? bila shaka utaniambaia hata mama yake diamond na mama yake george a.k.a rommy ni mtu na mdogo wake
hahahahaha kaanza kujiita rommy jones siku nyingi akiwa inspired na rapper wa dipset aitwaye Jimmy jones,mwenzako akajiona mnyamwezi akalikataa jina la bangula akajiita rommy ,sorry kama umekwazika maana umekasirika kweli kugundua jina hilo ame feki,mbona ni kawaida maisha ya ufeki ufeki mjini,kama vile watu wanavyoamini mama diamond na mama george ni ndugu???kumbe washkaji wa karibu toka enzi za udangaji huko tandaleHaya tuseme anaitwa george according to you. Wangap wanabadilisha majina wakisilimu?
Kama aliitwa george ni huko mwaka 47 ila now anaitwa Romeo na ni muislam.
Huko clouds nenda wewe.
Haya tuseme anaitwa george according to you. Wangap wanabadilisha majina wakisilimu?
Kama aliitwa george ni huko mwaka 47 ila now anaitwa Romeo na ni muislam.
Huko clouds nenda wewe.
Wewe ndio umekasirika naona maana sio kwa kushupalia huko[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha kaanza kujiita rommy jones siku nyingi akiwa inspired na rapper wa dipset aitwaye Jimmy jones,mwenzako akajiona mnyamwezi akalikataa jina la bangula akajiita rommy ,sorry kama umekwazika maana umekasirika kweli kugundua jina hilo ame feki,mbona ni kawaida maisha ya ufeki ufeki mjini,kama vile watu wanavyoamini mama diamond na mama george ni ndugu???kumbe washkaji wa karibu toka enzi za udangaji huko tandale
naweka rekodi sawa,nyeupe iwe nyeupe na siyo nyekundu..nimekuwekea nyimbo yao yua 2008 tayari anajiita rommy jones,clouds kaingia 2010 analipwa mshahara kwa jina la george bangula,hilo jina kabadili lini???? si ukubali tu huyo mshkaji ni mmmojawapo wa wale kina nyagema wanaokataa majina yao...sasa kabadili jina hadi jina la baba yake mzee bangula likageuka kuwa jones?Wewe ndio umekasirika naona maana sio kwa kushupalia huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakurudisha tena, kuna mahali wanakataza mtu kubadilisha jina??
basi sawaBahat mbaya au nzuri sina bundle unaweza kunisimulia tu yaliyomo kwenye hiyo video.
So wewe ni baba yake una uhakika 100%naweka rekodi sawa,nyeupe iwe nyeupe na siyo nyekundu..nimekuwekea nyimbo yao yua 2008 tayari anajiita rommy jones,clouds kaingia 2010 analipwa mshahara kwa jina la george bangula,hilo jina kabadili lini???? si ukubali tu huyo mshkaji ni mmmojawapo wa wale kina nyagema wanaokataa majina yao...sasa kabadili jina hadi jina la baba yake mzee bangula likageuka kuwa jones?
umeanza kuwa kama polisi wa bongo na ile kauli yao ya lete ushahidi? nani kakuambia clouds wanaulizaga vyeti??babu wa kitaa ana cheti gani pale au yule perfect cripsin aliyeacha shule form one ana cheti gani?So wewe ni baba yake una uhakika 100%
Au
Je kama alikua anatumia cheti cha mtu kama bashite kupata ajira hapo clouds?
Siwez kukubali kitu bila proof maana umeleta wimbo wa 2008 anajiita romy jones mara clouds alikua 2010 anaitwa George [emoji41][emoji41]
Hahahaha, ,,Eti huko clouds nenda wewe!!,,,umenifurahisha bibie,, nyi mnabishana wenzenu wanapiga pesaHaya tuseme anaitwa george according to you. Wangap wanabadilisha majina wakisilimu?
Kama aliitwa george ni huko mwaka 47 ila now anaitwa Romeo na ni muislam.
Huko clouds nenda wewe.
Twende taratibu sweetheart,kuna point ulisema George bangula ni jina la mwaka 1947 yaani la zamani kwa sasa ka silimu anajiita rommy jones,nikakuambia huyo tangu akiwa clouds analipwa officially kwa jina la george sio rommy na hiyo ilikuwa 2010...nikakuwekea na video ya 2008 akiwa tayari anatumia hilo jina la rommy jones ,hujaelewa nini?ni jina la kisanii sio jina halisiSo wewe ni baba yake una uhakika 100%
Au
Je kama alikua anatumia cheti cha mtu kama bashite kupata ajira hapo clouds?
Siwez kukubali kitu bila proof maana umeleta wimbo wa 2008 anajiita romy jones mara clouds alikua 2010 anaitwa George [emoji41][emoji41]
kawaida tu boss,hata tusipobishana watapiga hizo hela za bashite,najaribu kuifanya nyekundu iitwe nyekundu nikikuta watu wanaiita nyeupe nitabishana hadi keshoHahahaha, ,,Eti huko clouds nenda wewe!!,,,umenifurahisha bibie,, nyi mnabishana wenzenu wanapiga pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah! Watu mmenishindahakuna kitu hapo..tra walimdai kodi..akapanua domo kulalama hadi kidaka tonge kikaonekana
Sababu wewe ushahidi wako ni payroll ya clouds tu basi na mimi hapa siwez kukubishia sana sababu wapo watu wengi tu kama bashite.Twende taratibu sweetheart,kuna point ulisema George bangula ni jina la mwaka 1947 yaani la zamani kwa sasa ka silimu anajiita rommy jones,nikakuambia huyo tangu akiwa clouds analipwa officially kwa jina la george sio rommy na hiyo ilikuwa 2010...nikakuwekea na video ya 2008 akiwa tayari anatumia hilo jina la rommy jones ,hujaelewa nini?ni jina la kisanii sio jina halisi
Kweli kabisa,,Ila nimeangalia iyo video,,,nimemuona na huyo Rommy nae anaimba, ,,kumbe nae ni muimbaji pia,,, Ila nahisi watakuwa ni ndugu kwelikawaida tu boss,hata tusipobishana watapiga hizo hela za bashite,najaribu kuifanya nyekundu iitwe nyekundu nikikuta watu wanaiita nyeupe nitabishana hadi kesho