Diamond ampa dj wake, Romy Jones nyumba ya milion 100 kama zawadi ya harusi

Msisahau romy na diamond ni ndugu..mtt wa ma mkubwa na mdogo...
Na rommy kalelewa na mama diamond tangu mdgo.....
Plus romy kasaidia sana diamond kutoka kimziki..since romy aloanza ujanja wa mjini aka ubrazamen na kuajiriwa mpk clouds kabla ya diamond kuwa mjanja...
Kwakifupi romyjones kachangia diamond kufika hapo
 
Anaitwa Romeo.
bibi weeee,embu jaribu kummuuuliza mtu yoyote wa clouds aliyefanya naye kazi pale atakuambia...mwishow hamisi mwinjuma utakuja kuapa kwa mungu kwamba anaitwa mwan fa..kwa hiyo tuseme anaitwa romeo na baba yake ndo anaitwa Jones? bila shaka utaniambaia hata mama yake diamond na mama yake george a.k.a rommy ni mtu na mdogo wake
 
bibi weeee,embu jaribu kummuuuliza mtu yoyote wa clouds aliyefanya naye kazi pale atakuambia...mwishow hamisi mwinjuma utakuja kuapa kwa mungu kwamba naitwa mwan fa..kwa hiyo tuseme anaitwa romeo na baba yake ndo anaitwa Jones? bila shaka utaniambaia hata mama yake diamond na mama yake george a.k.a rommy ni mtu na mdogo wake
Haya tuseme anaitwa george according to you. Wangap wanabadilisha majina wakisilimu?
Kama aliitwa george ni huko mwaka 47 ila now anaitwa Romeo na ni muislam.
Huko clouds nenda wewe.
 
hahahahaha kaanza kujiita rommy jones siku nyingi akiwa inspired na rapper wa dipset aitwaye Jimmy jones,mwenzako akajiona mnyamwezi akalikataa jina la bangula akajiita rommy ,sorry kama umekwazika maana umekasirika kweli kugundua jina hilo ame feki,mbona ni kawaida maisha ya ufeki ufeki mjini,kama vile watu wanavyoamini mama diamond na mama george ni ndugu???kumbe washkaji wa karibu toka enzi za udangaji huko tandale
 
Wewe ndio umekasirika naona maana sio kwa kushupalia huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakurudisha tena, kuna mahali wanakataza mtu kubadilisha jina??
 
naweka rekodi sawa,nyeupe iwe nyeupe na siyo nyekundu..nimekuwekea nyimbo yao yua 2008 tayari anajiita rommy jones,clouds kaingia 2010 analipwa mshahara kwa jina la george bangula,hilo jina kabadili lini???? si ukubali tu huyo mshkaji ni mmmojawapo wa wale kina nyagema wanaokataa majina yao...sasa kabadili jina hadi jina la baba yake mzee bangula likageuka kuwa jones?
 
So wewe ni baba yake una uhakika 100%

Au

Je kama alikua anatumia cheti cha mtu kama bashite kupata ajira hapo clouds?
Siwez kukubali kitu bila proof maana umeleta wimbo wa 2008 anajiita romy jones mara clouds alikua 2010 anaitwa George [emoji41][emoji41]
 
umeanza kuwa kama polisi wa bongo na ile kauli yao ya lete ushahidi? nani kakuambia clouds wanaulizaga vyeti??babu wa kitaa ana cheti gani pale au yule perfect cripsin aliyeacha shule form one ana cheti gani?
Kinachokuuma ni nini? kwani jina la George ni baya au umependa Romeo?? duh kwa hiyo alibadili hadi jina la babu likawa Jones/?
 
Haya tuseme anaitwa george according to you. Wangap wanabadilisha majina wakisilimu?
Kama aliitwa george ni huko mwaka 47 ila now anaitwa Romeo na ni muislam.
Huko clouds nenda wewe.
Hahahaha, ,,Eti huko clouds nenda wewe!!,,,umenifurahisha bibie,, nyi mnabishana wenzenu wanapiga pesa
 
So wewe ni baba yake una uhakika 100%

Au

Je kama alikua anatumia cheti cha mtu kama bashite kupata ajira hapo clouds?
Siwez kukubali kitu bila proof maana umeleta wimbo wa 2008 anajiita romy jones mara clouds alikua 2010 anaitwa George [emoji41][emoji41]
Twende taratibu sweetheart,kuna point ulisema George bangula ni jina la mwaka 1947 yaani la zamani kwa sasa ka silimu anajiita rommy jones,nikakuambia huyo tangu akiwa clouds analipwa officially kwa jina la george sio rommy na hiyo ilikuwa 2010...nikakuwekea na video ya 2008 akiwa tayari anatumia hilo jina la rommy jones ,hujaelewa nini?ni jina la kisanii sio jina halisi
 
Hahahaha, ,,Eti huko clouds nenda wewe!!,,,umenifurahisha bibie,, nyi mnabishana wenzenu wanapiga pesa
kawaida tu boss,hata tusipobishana watapiga hizo hela za bashite,najaribu kuifanya nyekundu iitwe nyekundu nikikuta watu wanaiita nyeupe nitabishana hadi kesho
 
Twende taratibu sweetheart,kuna point ulisema George bangula ni jina la mwaka 1947 yaani la zamani kwa sasa ka silimu anajiita rommy jones,nikakuambia huyo tangu akiwa clouds analipwa officially kwa jina la george sio rommy na hiyo ilikuwa 2010...nikakuwekea na video ya 2008 akiwa tayari anatumia hilo jina la rommy jones ,hujaelewa nini?ni jina la kisanii sio jina halisi
Sababu wewe ushahidi wako ni payroll ya clouds tu basi na mimi hapa siwez kukubishia sana sababu wapo watu wengi tu kama bashite.

Labda kama kuna ushahid mwingine apart from kufanya kazi clouds [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
kawaida tu boss,hata tusipobishana watapiga hizo hela za bashite,najaribu kuifanya nyekundu iitwe nyekundu nikikuta watu wanaiita nyeupe nitabishana hadi kesho
Kweli kabisa,,Ila nimeangalia iyo video,,,nimemuona na huyo Rommy nae anaimba, ,,kumbe nae ni muimbaji pia,,, Ila nahisi watakuwa ni ndugu kweli
 
Back
Top Bottom