Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Hawa wana kazi ..ila ni udhaifu wa hali ya juu kumpiga mwanamke kiasi hicho cha kumtoa alama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata angemfungia ndani akamtw
anga kimya kimya bado ni udhalilishaji. [SIZE]Na si udhalilishwaji tu, domestic violence ni abomination, ni jinai, ni ugaidi, ni human rights violation, ni udhalimu. Sio "udhalilishaji wa aina yake." Hivi mtajikomboa lini Gaijin?
Matokeo ya kusubiri Mwanamme "awawezeshe," Mwanamme mwenyewe wa Tanzania bado anafafana na Zinjanthropus wa Kondoa Irangi, wako humu wanasema kutwanga mwanamke ni "mambo binafsi" yanayohusu "wapen
danao." Hawa hawawezi kuwawezesheni.
Yaani mpaka leo kuna wanaume wanapiga wanawake!!!
Wanaume wa kiafrika bwana huwa hawastaarabiki....Yaani huo ni udhaifu wa kiwango cha juu kabisa kwa mwanaume.Diamond nilikuwa na nakuheshimu sikujua kama wewe ni mtu wa hovyo kiasi hicho.
Hata angemfungia ndani akamtwanga kimya kimya bado ni udhalilishaji. Na si udhalilishwaji tu, domestic violence ni abomination, ni jinai, ni ugaidi, ni human rights violation, ni udhalimu. Sio "udhalilishaji wa aina yake." Hivi mtajikomboa lini Gaijin?
Matokeo ya kusubiri Mwanamme "awawezeshe," Mwanamme mwenyewe wa Tanzania bado anafafana na Zinjanthropus wa Kondoa Irangi, wako humu wanasema kutwanga mwanamke ni "mambo binafsi" yanayohusu "wapendanao." Hawa hawawezi kuwawezesheni.
Una exposure kiasi gani wewe? Manake umehusisha utovu wa ustaarabu wa wanaume wa Kiafrika na unyanyasaji wa nguvu (physical abuse) dhidi ya wanawake wakati haya mambo hayana bara, taifa, rangi, kabila, wala dini!
Spousal abuse ni tatizo kubwa katika jamii zote. Pengine tofauti kubwa iliyopo baina ya jamii na jamii ni uvumilivu (na wakati mwingine ukubaliwaji - 'acceptance') wa hilo ovu.
Kama jamii X ina "uvumilivu" na "acceptance" ya abuse kuliko jamii Y then obviously tatizo litakuwa kubwa katika jamii X kuliko jamii Y. Simply because katika jamii Y hakuna tolerance kwa mambo hayo. I mean, this isn't rocket astrophysics.Spousal abuse ni tatizo kubwa katika jamii zote. Pengine tofauti kubwa iliyopo baina ya jamii na jamii ni uvumilivu (na wakati mwingine ukubaliwaji - 'acceptance') wa hilo ovu.
Hawajuhi kuwa wagombanao ndio WAPATANAO.mapenzi ndio hupamba motto hivyo
I hope amechukua hatua muafaka. Kwa sababu kupigwa na kutolewa magazetini namna hii ni udhalilishaji wa aina yake
Huenda ndo akipenda ivyo?