Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Anapenda kupigwa?
yeah..ili atokeze kwen front page magazetini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapenda kupigwa?
ndio wapatanao. Huko ni kukumbushana tu wajibu wa kila mmoja.Wapendanao.........
yeah..ili atokeze kwen front page magazetini
Achukue hatua wakati mwenzako kuandikwa kwake ni bonge la promo! Sanasana atachukua hatua itakayozidisha kuandikwa zaidi, anaweza hata kumuomba Diamond amwongezee kichapo
hiyo itakula kwa diamond, coz watu hawatumheshimu tena kwenye jukwaa
Duh!Hii avatar basi tu,nimekugongea thanks!kweli amembabua
Do you mean it?Ni sehemu ya mapenzi. hamna ubaya.
RR,kuna makabila yana amini hivyo,ndo Tz yetu hiyo.Do you mean it?