WASWAHILI BHANA! si walisema
Kofi la mpenzi haliumi na msemo mweingine Mwanamke hupigwa upande wa khanga kutoka ktk misemo hiyo tukubali kuwa suala la mwanamke kupigwa linakubalika ktk jamii zinazofuata hiyo misemo mnabisha???????
Safi sana mwanamke asie sikia ni kumzabua tu vibao
Mi wala cna shda akinipiga kimya ntamsubiria amelala ntakachomfanya hatakaa anyooshe mkono kwa mwanamke,
Diamond na Wema ni binadamu kama binadamu wengine.....Matatizo katika mahusiano yao ni sawa na matatizo katika mahusiano/ndoa nyingi.. Hakuna anayependa violence katika mapenzi..lakini pia hakuna anayeweza kuzuia hilo zaidi yao hao wawili.
Bahati mbaya Diamond na Wema "indirectly" wanasaidia watu wengine kupata mkate wa kila siku kwa kufuatilia na kuandika hata mambo ya kipuuzi..na utumbo wa hao wawili...Na bahati mbaya Diamond akili yake inaendeshwa na hayo magazeti...ni kama hadithi ya "kuku na kifaranga"..
Young man..umechemsha mapema!
top lemoncarolait..
Okay, I hear you, "sababu zenyewe zikiwa kama hizi "text" ndio hazifai kabisa kumpiga mwanamke. Kwa hiyo tuseme sababu gani labda unaona ni poa kumtwanga mwanamke for?...Tena sababu zenyewe zikiwa kama hizi "text"
Kama Rihhana?!
Jokes aside sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atakayoomba apigwe ili atokee kwenye magazeti
Watanzania tunatakiwa kuwa na ujasiri wa kufikishana kwenye vyombo vya sheria. Violence ya aina yoyote ile haikubaliki
Okay, I hear you, "sababu zenyewe zikiwa kama hizi "text" ndio hazifai kabisa kumpiga mwanamke. Kwa hiyo tuseme sababu gani labda unaona ni poa kumtwanga mwanamke for?
Unajua katika lugha yetu ya Kiswahili unaposema"...tena sababu zenyewe zikiwa hizi za text" maana yake kutumia sababu za text kumpiga mwanamke ndio vibaya zaidi. Kwa hiyo, aidha umetumia lugha vibaya na imesababisha nia yako isieleweke.kama umenisoma vizuri nimesema ...
Unajua katika lugha yetu ya Kiswahili unaposema"...tena sababu zenyewe zikiwa hizi za text" maana yake kutumia sababu za text kumpiga mwanamke ndio vibaya zaidi. Kwa hiyo, aidha umetumia lugha vibaya na imesababisha nia yako isieleweke.
Au kingine, ambacho ndio ulichomaanisha, ni kwamba kuna sababu ya kumtwangia mwanamke inayoweza kuvumilika vumilika. Ambayo hakuna. Hakuna sababu nzuri ya kumpiga mwanamke, na kitendo cha kupigwa kwa Wema Sepetu kilaaniwe, na ma Zinjanthropus wa kike na kiume wanaosafisha tabia hii na walaaniwe.
Kwa mujibu wa mpekuzi wetu ambaye kazi yake ni kufuatilia mambo ya watu, Diamond alifikia hatua
ya kumtandika hadi akamharibu uso kisa kikielezwa ni wivu wa kimapenzi.
Chanzo kiliendelea kutambaa na mistari kuwa ilitokea purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia Mbwana Matumla kwa kupangua makonde ya Francis Miyeyusho kama alivyofanya wiki iliyopita pale Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Ilidaiwa kuwa staa huyo wa filamu hakufua dafu kwani Diamond alipeleka konde moja matata kama lile la Miyeyusho kwa Matumla hivyo kumwachia michoro ya makofi usoni huku akimsababishia mrembo huyo kutosikia vizuri hadi sasa.