Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Mimi siimbi bro...Kila mtu ashinde mechi zake
 
Sawa Mkuu, ila kumbuka kuna watu wameajiriwa naye na wanatoa sadaka zao siku za Ibada.

Whatever you have, comes from him. Mimi/Wewe jukumu letu ni kupokea tu kama baraka
Sadaka za namna hiyo hazipokelwi.
 
Sadaka za namna hiyo hazipokelwi.
Usikatae Mkuu, yaani utajiri mwingi hupatikana kwa kutoa sadaka, sio sadaka za kanisani ila za kumwaga damu.

Kadri unavyomwaga damu ndivyo utajiri unavyoongezeka.
 
Mungu hapokei sadaka za namna hiyo.

Kama mtu amemwaga Damu, akamchukua sehemu ya ujira alioupokea Kwa kumwaga Damu na kupeleka madhabahuni, mtumishi Kwa kutokujua aweza ipokea lakini Mungu ajuaye ya sirini hatopokea.

Badala yake, sadaka hiyo hugeuka makaa ya moto kichwani mwa mtoaji.
 
Ni kweli lakini lengo la sadaka hizo sio kwa Mungu huyu tunayemwabudu mimi na wewe ila mungu mwingine wanayemwabudu.
 
Vijana wengi saivi wameingia kwenye huo mfumo
Ni kweri kufa maskini ukaenda Mbinguni, kuliko kutajirika Kwa pesa za Damu, ukatajirika Kwa miaka 10 na kufa, halafu ukaenda ktk jehanum ya mateso milele na milele.
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Ukimaliza muda wa kukaa kwa shemeji yako ndipo utajuwa hujuwi kitu
 
Back
Top Bottom