Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

We hustle kivyako usijifananishe na wengine, safari ya kutafuta utajiri wengine wanajitoa muhanga and forsake every damn thing just to show people they got the latest toys and gadgets.
 
Ni aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.

Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Aliyeokoka ana Kila kitu.

Unaonaje ukiupata Ulimwengu wote na fahari zake na ukaishia kutupiwa JEHANUM?

Maskini au tajiri, kutokuwa na YESU maishani ni HASARA kubwa sana.

Amen
 
Aliyeokoka ana Kila kitu.

Unaonaje ukiupata Ulimwengu wote na fahari zake na ukaishia kutupiwa JEHANUM?

Maskini au tajiri, kutokuwa na YESU maishani ni HASARA kubwa sana.

Amen
Bora uishi kwa raha duniani ufe uende motoni.
Kuliko kuishi masikini kufa kwenda motoni kwa uzinzi usengenyaji, dhuluma nk

Amina
 
Mkuu kutoa maoni yangu mara hii nimekuwa mjinga na Bwege?

Mitazamo ya aina yako ndiyo inawafanya Vijana wadogo wapate maradhi ya moyo kwa stress kisa umewataka wamiliki gari wakati kipato Chao ni wastani.

Kiimani, wanasema Mungu anakupa mafanikio wakati atakaopenda yeye ukitia bidii.

Huenda kwa umri huo wa miaka 33 ndiyo Umri sahihi na wakati sahihi ambao Mungu ameona ni sahihi kumpa Mwenzetu Diamond mafanikio. Sisi wengine tunasubiria wakati sahihi, haijalishi tutapata tukiwa na 40 au 55
Una uhakika ni Mungu ndiye kampa? Una uhakika? Kwa herufi kubwa.!
 
Back
Top Bottom