Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Umechanganyikiwa mpaka unajiuliza mwenyewe😁😁😁Niko sakama ndio nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechanganyikiwa mpaka unajiuliza mwenyewe😁😁😁Niko sakama ndio nn
Mimi sio kijanaUnaonekana una stress kijana pambana na hali yako kuanzisha mada hakutofuta maisha magumu unayopitia huko uliko[emoji16][emoji16]
Wenye maisha mazuri wanaonekana hata kwa maandishi wewe pambana na Umaskini wako au kuwa chawa wa wasafiMimi sio kijana
Kusifia watu na kuwa chawa kwa watu wenye pesa sio sababu kufuta umasikini ulionao huko uliko[emoji23]
Sawa mwijaku!Wenye maisha mazuri wanaonekana hata kwa maandishi wewe pambana na Umaskini wako au kuwa chawa wa wasafi
Umri wako una shida natanguliza salamu za pole kwa wanaokutegemea,Sawa mkuu!
Nimekuelewa sana na umenisaidia sana kuondoa hiyo mentality ya kupima mafanikio kwq umri, nimekuelewa sana kwenye level nk hasa kupitia mfano wako dhahili,
Ahsantee sana umenitoa kwenye giza Mungu akubaliki mkuu..
Ndio umenielewesha na kunitoa kwenye giza kula Chuma nyoko wewe.
(SIKUTUKANI TENA)
Wewe ndio umeandika kwa kumtetemekea mtu!Umechanganyikiwa mpaka unajiuliza mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
mzee wewe una umri gani ili tukufananishe na Ansu fatjNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ha ha ha yan maisha ukishanza kujifanamishanna wengine lazma utapata BP tu.... Afu utakufuru Munguhoja ya mleta uzi ilikuwa nzuri ila huenda uwasilishaji wake wa kukera ndo umefanya watu wameenda against
pia katika maisha ya mafanikio jifunze, usijifananishe na mwngne (hilo ni kosa kubwa utakuwa umefanya)
MFANO ULIO HAI
mimi na ww tunafanya biashara ya aina moja ,mtaji wa aina moja (hapa namaanisha mimi nimeingia na 500k na ww pia 500k
biashara tumeifanya ndani ya mwaka mmoja tu mi nikawa mbali kukuzidi ww( yaan mara tatu ya mtaji wako)
unabaki unajiuliza mbna mm nimepiga hatua sana???
sasa hujui humo katikat nimekutana na nini ,huenda tumegawana mali za urithi,huenda ndugu wameona tu wanichangie kukuza mtaji,huenda kaka yangu ameniwezesha zaid na zaid
tukija kwako humo katikat umepata majanga ya kufa mtu ,kila ukitaka kuinuka yanakuja matatzo yanalamba ukichokuwa nacho.
NJE YA TASWIRA
watu wataamini nina pambana kuliko ww,wataamin ww ni mzembe,au huna uwezo wa kuzalisha biashara na kwenda na muda
KWA HIYO USIPENDE KUJIFANANISHA,NJIA UNAZOPITIA NI TOFAUTI NA WENGNE.
MWISHO
kuna watu kwenye maisha wana kismart yaan mtu agonga 60yrs hajawahi kukutana na majanga makubwa wala mitikas migumu ya maisha ,ila ww hata 28 hujafikisha mara umeibiwa ,mara umefiwa na mke ,mara nyumba imesombwa na maji hahaha
Mimi sina ubavu kumtukana mtu asie nitukana matusi yangu ni product ya mdomo wa mchafu kama choo cha Soko au stand ya Bus.Unanitafutia BAN ya kilazima wanasema muungwana akivuliwa nguo huchutama, Sina haja ya kujobizana na wewe maana nimeshaisoma akili yako na nimeelewa umri gan uliopo kwa kifuatilia majibizano yetu, kwa hio sema unavyojisikia kusema sitojibu maana kuna wakati ukikimbizana na chizi ukataka kumvisha nguo akiwa yungali uchi wa mnyama wote wawili mnaonekana ni machizi hata km wewe mmoja ukiwa timamu, naweka nukta we endelea KUTUKANA.
Watu tumestaafu kazi miaka 15 iliyopita, hivyo hatufai kuteuliwa kwa chochote labda nafasi ya kushauri kutokana na mvi zetu 🤪Watoto wana dharau sana hawajui wanachat na wazir wa......
Niko salama mpendwa
Mkuu tumekubali wewe mkubwa sawaWatu tumestaafu kazi miaka 15 iliyopita, hivyo hatufai kuteuliwa kwa chochote labda nafasi ya kushauri kutokana na mvi zetu [emoji2957]
Fanya unitumie kiporo cha biriani, nina uhakika kilibaki
NonsenseHebu nipe kwanza umri wa baba yako mzazi halafu nilinganishe na bakhresa na ikiwa baba yako ni mkubwa au yupo sawa na bakhresa nadhani ingependeza kumuuliza dingi yako kwanini bakhresa tajiri na yeye yupo yupo tu wakati wanalingana au kamzidi umri bakhresa
Kosa kwa vijana ni kujilinganisha na watu wengine. Umri wa miaka 33 ni mdogo bado. Jipange kutokana na uwezo aliokupa Mungu yaani kipaji ambacho amekupa Mungu usisikilize machawa na hawa washabikiNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawq na diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Sikupingi,ila Nina amin katika karma...Sipingi na kila ulichoandika ni ukweli uliotukuka!... lakini inamaana hutaki kwamba wapo wataalam wa kuchungulia nyota za watu na kuharibu ili usitoboe maishani?! [emoji4]
unafahamu kwamba hata hao matajiri huwa na wataalam wao wa kuwatazamia nyota takribani kila siku au kila wiki wajuvi wa mambo wasije kupindua mambo?!
Hayajakukuta mkuu... nina mfano hai!
Tutakutana kaburini
Una uhakika gani kama 20 years from now utakua hai?Nikikujibu nipigwe Ban 20 years