Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Dah!
Nyokolo
Nyokolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi anafikia utajiri wa paula mtoto wa pfunk?Huko mbona mbali, huyo kamzidi umri marioo ila hamfikii kabisa kwa kibunda.
Ni bidii tu mkuu na kutokukata Tamaa..Ukweli unaouma ambao wengi wao humu hawaufahamu, au wanaufahamu na waliwahi kuusikia lakini hawataki kukubaliana nao.
Sipingi na kila ulichoandika ni ukweli uliotukuka!... lakini inamaana hutaki kwamba wapo wataalam wa kuchungulia nyota za watu na kuharibu ili usitoboe maishani?! 😊Ni bidii tu mkuu na kutokukata Tamaa..
Diamond alikua hajui kuimba..
Kama alikiba angekua na bidii angekuwa mbali zaidi ya Mond.
Hata bahati haiendi kwa wavivu, bahati inawakuta wanaojibidiisha.
Naamini katika bidii
Daaah aisee hii mbona ipo philosophical sn?Hata hapo kale walikuwepo akina Yesu Kristu maskini na akina Zakayo matajiri!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa..... Nimejikuta nacheka peke yangu huku nikisikiliza wimbo 'Wonder' ya Diamond, umri tunapishana ila ananizidi pesa hahahaa! Sihami jf.
💯💯Kagame akiwa na miaka 27 tu alishakuwa kamanda wa jeshi la waasi wa rwanda.
Akiwa na miaka 30 anafanya mapinduzi na kuwa mkuu wa majeshi rwanda.
Siku hizi tunachelewa sana maisha.
Mtu ana miaka 30 bado anajiona mtoto anazunguka na bahasha kusaka ajira
Huo ndio ukweliunayoyasema ni kweli mkuu ila kila mtu ana fungu lake mkuu, na sometimes maisha ni kuchagua.... Waweza ukaishi kwa mkate pekee na ukaishi kwa furaha sawa na anaeishi kwa kila kitu...... Lengo la maisha si kutafuta utajiri, umaarufu na pesa pekee, Bali ni kuitafuta furaha ya kweli moyoni, Sababu za kuwa na furaha zipo nyingi kuliko hiyo ya kumiliki material things.
Watoto wana dharau sana hawajui wanachat na wazir wa......Hahaha..............huyu Bwana mdogo ana dharau watu kisa yupo nyuma ya keyboard.
Ningekuwa mjini ningehakikisha anakula na kunywa kwa gharama zangu hadi ashindwe kutembea 🤪
Uko salama lakini?
Acha uchawa na wewe heeee hata uoni aibuWatoto wana dharau sana hawajui wanachat na wazir wa......
Niko sakama mpendwa
😅😅😅Lazima niwe chawa mkuu huyo mtu mkubwa usimchukulie poaAcha uchawa na wewe heeee hata uoni aibu
Tafuta hela acha kusifia watu sijui waziri wa huoni hta aibu hiyo ni dalili ya umasikini!
huna tofauti na mwijaku ety waziri waaa..... Ili upewe pesa au acha uchawa
Acha uchawa na wewe heeee hata uoni aibu
Tafuta hela acha kusifia watu sijui waziri wa huoni hta aibu hiyo ni dalili ya umasikini!
huna tofauti na mwijaku ety waziri waaa..... Ili upewe pesa au acha uchawa
Acha kujichekesha sasa[emoji28][emoji28][emoji28]Lazima niwe chawa mkuu huyo mtu mkubwa usimchukulie poa
Unaonekana una stress kijana pambana na hali yako kuanzisha mada hakutofuta maisha magumu unayopitia huko uliko😁😁Acha kujichekesha sasa
Mfate mwambie wewe ni mtu mkubwa sio kuja hapa ili uonekane au??
Acha kiherehere manyoya