Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Ukweli unaouma ambao wengi wao humu hawaufahamu, au wanaufahamu na waliwahi kuusikia lakini hawataki kukubaliana nao.
Ni bidii tu mkuu na kutokukata Tamaa..
Diamond alikua hajui kuimba..
Kama alikiba angekua na bidii angekuwa mbali zaidi ya Mond.

Hata bahati haiendi kwa wavivu, bahati inawakuta wanaojibidiisha.
Naamini katika bidii
 
Sipingi na kila ulichoandika ni ukweli uliotukuka!... lakini inamaana hutaki kwamba wapo wataalam wa kuchungulia nyota za watu na kuharibu ili usitoboe maishani?! 😊

unafahamu kwamba hata hao matajiri huwa na wataalam wao wa kuwatazamia nyota takribani kila siku au kila wiki wajuvi wa mambo wasije kupindua mambo?!

Hayajakukuta mkuu... nina mfano hai!
 
unayoyasema ni kweli mkuu ila kila mtu ana fungu lake mkuu, na sometimes maisha ni kuchagua.... Waweza ukaishi kwa mkate pekee na ukaishi kwa furaha sawa na anaeishi kwa kila kitu...... Lengo la maisha si kutafuta utajiri, umaarufu na pesa pekee, Bali ni kuitafuta furaha ya kweli moyoni, Sababu za kuwa na furaha zipo nyingi kuliko hiyo ya kumiliki material things.
 
Huo ndio ukweli
Nashukuru sana kwq comments nzuri
 
Back
Top Bottom