Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Haya mambo acha kabisa mkuu! Usisikie! Binadamu mchekeane tu usoni. Hatuna maana!Mkuu nyota isipochezewa kumbe mafanikio ni kugusa tu??? Kwamba kila utakachofanya kitanyooka na kuleta matokeo makubwa?
Sikupingi. Upo sahihi kabisa. Kufanikiwa kunaanzia rohoni/kwenye ulimwengu usioonekana.Haya mambo acha kabisa mkuu! Usisikie! Binadamu mchekeane tu usoni. Hatuna maana!
Mimi siimbi bro...Kila mtu ashinde mechi zakeNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Sadaka za namna hiyo hazipokelwi.Sawa Mkuu, ila kumbuka kuna watu wameajiriwa naye na wanatoa sadaka zao siku za Ibada.
Whatever you have, comes from him. Mimi/Wewe jukumu letu ni kupokea tu kama baraka
Usikatae Mkuu, yaani utajiri mwingi hupatikana kwa kutoa sadaka, sio sadaka za kanisani ila za kumwaga damu.Sadaka za namna hiyo hazipokelwi.
Mungu hapokei sadaka za namna hiyo.Usikatae Mkuu, yaani utajiri mwingi hupatikana kwa kutoa sadaka, sio sadaka za kanisani ila za kumwaga damu.
Kadri unavyomwaga damu ndivyo utajiri unavyoongezeka.
Ni kweli lakini lengo la sadaka hizo sio kwa Mungu huyu tunayemwabudu mimi na wewe ila mungu mwingine wanayemwabudu.Mungu hapokei sadaka za namna hiyo.
Kama mtu amemwaga Damu, akamchukua sehemu ya ujira alioupokea Kwa kumwaga Damu na kupeleka madhabahuni, mtumishi Kwa kutokujua aweza ipokea lakini Mungu ajuaye ya sirini hatopokea.
Badala yake, sadaka hiyo hugeuka makaa ya moto kichwani mwa mtoaji.
Kama ni miungu mingine ni sawa nakubaliana nawe.Ni kweli lakini lengo la sadaka hizo sio kwa Mungu huyu tunayemwabudu mimi na wewe ila mungu mwingine wanayemwabudu.
Vijana wengi saivi wameingia kwenye huo mfumoKama ni miungu mingine ni sawa nakubaliana nawe.
Depression is realNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...
Ni kweri kufa maskini ukaenda Mbinguni, kuliko kutajirika Kwa pesa za Damu, ukatajirika Kwa miaka 10 na kufa, halafu ukaenda ktk jehanum ya mateso milele na milele.Vijana wengi saivi wameingia kwenye huo mfumo
Ukimaliza muda wa kukaa kwa shemeji yako ndipo utajuwa hujuwi kituNi aibu mtu mwenye umri sawa na wewe, tena mtoto wa masikini kama Naseed Abdul kuwa na maendeleo kukuzidi.
Mungu amekupa umri sawa na Diamond ila wewe huna lolote aibu yako...