Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Yote mipango yake Mola

Hayati Somaiya akiwa na miaka 32 alishakuwa sio tu Tajiri Mkubwa bali pia mpanga mikakati ya hali ya juu sana

alitengeneza mchongo wa Rada mwaka 2000 kati ya Dola mbili za Tanzania na Uingereza
Sijakuelewaunamaanaganisasa
 
Kwa mfumo wa nchi yetu huwez kulaumu sana mzee , vijana wengi tanzania huanza kuonyesha mafanikio 30+ , wengi ndo huwa wamekaa kwenye ajira walau miaka 2+ so mda wa kuanza kuinvest sasa ,..... Hata wanaojitafta mtaani wengi inawachukua mpk miaka 5 kuanza kuonyesha matunda
Vipi kuhusu diamond ana kipi hasa?? Acha visingizio
 
Back
Top Bottom