Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Kibongo Bongo Maisha yaanza ukiwa na umri wa miaka 40.

Life begins at 40

Wacha kutufanya tu overthink kuhusu maisha ya Duniani wakati ukifa hauendi hata na Kijiko cha Chai [emoji848]
Acha ujinga
Toa mentality ya kimasikini bwege wewe!
Miaka 40 ndio nin! Hakuna umri maalumu wa mafanikio
 
Mkuu kutoa maoni yangu mara hii nimekuwa mjinga na Bwege?

Mitazamo ya aina yako ndiyo inawafanya Vijana wadogo wapate maradhi ya moyo kwa stress kisa umewataka wamiliki gari wakati kipato Chao ni wastani.

Kiimani, wanasema Mungu anakupa mafanikio wakati atakaopenda yeye ukitia bidii.

Huenda kwa umri huo wa miaka 33 ndiyo Umri sahihi na wakati sahihi ambao Mungu ameona ni sahihi kumpa Mwenzetu Diamond mafanikio. Sisi wengine tunasubiria wakati sahihi, haijalishi tutapata tukiwa na 40 au 55
 
Hiyo ni mentality ya kimasikini.
 
Back
Top Bottom