Diamond anafanya biashara gani?


Haya maswali ni muhimu. Inawezekana anapata pesa kwa njia hizi, basi ni vyema ijulikane ili na wasanii wengine waige. Kusema jumla jumla haiwasaidii wengine kutoka. Kama kuna mtu anajua jinsi muziki ulivyomtoa Diamond kwa mauzo au matangazo, aisaidie jamii ili iige mfanowe!
 
Ni kweli mkuu maana ndiyo anatajwa kama msanii mwenye fedha nyingi.
 

Sidhani kama unaelewa kitu ulichomaanisha hapo kwenye nyekundu.
Sanaa na uandishi wapi na wapi?
Wabongo na dharau zenu mnawadharau wenzenu kumbe hamjui lolote
 
Tuache utani maisha ya diamond hayalingani na kipato chake..... Biashara ya Pablo Escobar na El Chapo inahusika hapa
Nenda kitengo husika polisi ukareport upeleke na ushahidi wa uyasemayo, na kama unaona Diamond anafaidi kuuza Unga nawe kauze tukuone.
pathetic Tanzanian!
 
Kuna kitu kwenye hii makala ambacho mwaandishi hajakifafanua tusiishie kusema mwaandishi hajui kama album hailipi,hata yeye amesema kuwa kuna vyanzo mbalimbali ambavyo vinaweza kumpatia msanii hela na pamoja na show.
Sasa kama anajua kuna vyanzo vingine kwanini anauliza maswali yakitoto hivyo? Madhumuni ya makala yake ni yapi.
 

Kiongozi hivi unawajua watanzania wewe? Naona wewe unajidai huwajui. Poteza muda tengeneza article ya maana alafu uone kama hutosoma na mkeo ndani tuu.
Ni wachache sana wanaangalia uzito wa swala kwa kuangalia tafiti za kisomi. Na ukiandaka hayo I guarantee wachache sana kina sisi tutaso,a jinsi gani diamond anauza kwa show na matangazo Na ringtones, ila walio wengi wanataka waskie dai anauza poda, dai freemason dai anatunzwa na katunzi na uozo kibao basi ndo akili zao zilizopo kwenye vinyeo vyao zinafurahi.
 
Tuache utani maisha ya diamond hayalingani na kipato chake..... Biashara ya Pablo Escobar na El Chapo inahusika hapa
mnataka angebaki pale tandale alipokulia na mamake kama yule jamaa yenu wa kariakoo !!mngekua roho kwatuuu!!!eehh??
 
waandishi kama hawa ni miongoni wa wenye vyeti feki.wameungaunga were adi wakawa waandishi lakini kichwani weupe!!!
 
Ivi Lala salama haikuwa album ya pili?
 
Sure bro
Nashindwa kuelewa kwann watu wanapenda sana mawazo mgando kama hayo waliyonayo.
Mtu anatoa hit songs zinakuwa na views mpaka mil 5 why hasitoboe?

Fikra zetu finyu wakat mwingine zinapelekea sana kuto kufanikiwa miongon mwetu.

Baba Tee anajituma anatoa mzik mzur, videos kali na za gharama kubwa hivyo ndivyo vinavyompelekea dau lake kuwa kubwa popote pale aendapo kupiga show.

Wabongo tuwe wabunifu na tuweke bidii kwa kila tukifanyacho.
TUTATOBOA TU HAINA UCHAWI WALA NGADA.
 
Sasa kama anajua kuna vyanzo vingine kwanini anauliza maswali yakitoto hivyo? Madhumuni ya makala yake ni yapi.
Na ndiyo maana nikasema mwaandishi hajafafanua,hajaeleweka nini alikuwa anataka kutufikirisha.
 
Ingawa kuna ukweli lakini fans wake watakuparura we subiri
 
Leo (Oktoba 5,2016) akihojiwa na Gadner na Bantu kwenye Jahazi CloudsFM amesema kwa uchungu kwamba TRA wasitake kutoza kodi kila pato wakati wao hawawasaidii wasanii wanapodhulumiwa haki zao. Akamalizia kwa NENO GUMU SANA kwamba wanataka kutoza kodi hata pesa aliyopowa na TAJIRI akasema je kama kakazwa!!
"Wasitake kutoza kodi kila kitu hata pesa niliyopewa na tajiri, je kama nimekazwa!?" Kisha tangazo likafuata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…