Diamond anajua kutafuta kwa udi na uvumba aah.

jione kwanza kiherehere kamwa mwanamke wa pwani, acha mdomo wewe

Sasa kama nimezaliwa Town " Pwani " hii unataka nifanane na aliyezaliwa " Kyaka Nkunde " au " Ikupilipa Nkoba " Wewe Zombie?
 
Diamond ni wa kawaida sana. Sema yeye ni maarufu tu. Kuna vijana wengi wako vizuri kifedha kuliko Mond. Ila hawataki kiki.
Na kupata pesa sio kwamba wewe ni mjanja zaidi kuliko wengne , siku zote mtu akipata ataitwa majina mengi mno na sifa kibao,, kwamba ana akili anajituma kumbe wap!!!? Mungu akipanga upate na utapata tu....
 
Mkuu baba yake kafanyiwa mahojiana kasema hapewi msaada wowote na alimwomba jamaa msamaha mara nyingi lakini jamaa anampotezea ikabidi mzee wake atafute vibarua vya kumenya chips uswazi sasa kuna haja gani ya kutaka sifa kwenye mitandao ametoa mabilion kwa waarabu huku baba yake anateseka uswazi,sasa sijui siku baba yake kapoteza uhai kwa kukosa matibabu atakuwa na nguvu ya kutoa mchango wakati sasa hiv mzima kampotezea!video naiweka hapo chini uone mzee anavyofunguka[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Yes,naisubiria video (tena naamini itakuwa ya hivi karibuni kati ya mwaka 2015 -2016 ) ndio utakuwa ushahidi wa uhakika,lakini sio hayo magazeti ya Shigongo. Ole wako usiweke hiyo video hadi kufikia kesho 11/9/2016, utakuwa NI MWENYE CHUKI YA MAFANIKIO YA MWENZAKO.
 
Wakati ukiendelea kuutafuta uongo ambao hautoupata hebu angalia haya mahojiano ya Clouds TV na Baba yake DIAMOND na uone jinsi alivyomsifia mwanawe tofauti na inavyoandikwa kwenye magazeti.

 
Wakati ukiendelea kuutafuta uongo ambao hautoupata hebu angalia haya mahojiano ya Clouds TV na Baba yake DIAMOND na uone jinsi alivyomsifia mwanawe tofauti na inavyoandikwa kwenye magazeti.

Kaangalie hiyo video ya clouds imewekwa mwezi wa pili harafu mahojiana yamefanyika kiuni, harafu katika hiyo video nilioipandisha imewekwa mwezi wa 3 ambapo mzee mwenyewe alifunguka!
 
Hii video hujaiangalia zaidi ya kuona kichwa cha habari na wewe kuichukua kama ilivyo,kilichoandikwa na anachokisema huyo mzee ni tofauti kabisa na kama umeiangalia hujaelewa alichokuwa ana kisema huyo mzee,kwa kifupi hakuna sehemu alikosema ANASHINDA NJAA.
 
Wakati ukiendelea kuutafuta uongo ambao hautoupata hebu angalia haya mahojiano ya Clouds TV na Baba yake DIAMOND na uone jinsi alivyomsifia mwanawe tofauti na inavyoandikwa kwenye magazeti.

daimond ana makosa makubwa sana yeye keshakua mtu mzima sasa anapaswa atambue kuwa baba yake hana makosa kabisa.
mwenye makosa ni huyo mama yake kwa sababu alimsaliti baba. yani mondi kalishwa pumba na mama yake hadi anajisahau aisee? ivi akiskia zari anapigwa bomba na mwanaume mwingine nje atajiskiaje?
anapaswa kufahamu hajatelekezwa bali mzee maji ya shingo yalimfika akaona hana jinsi akaondoka.
 
Wakati diamond na mama yake wanakimbizwa mitaani na migambo baba yake alikua anabadili wanawake kama chupi leo na yeye ni zamu yake ya kula msoto wakati d akibadili kama pipi,what goes around comes around,hapa hata laana haipo,ukibisha muulize hata kiongozi wako wa imani.
 
mbona baba mondi anasema sababu ya kuachana na mama ni wsababu mama alikua anatembea na salum kama sijakosea? fatilia hiyo visdeo hapo juu. na huyo salim hadi leo anamla mama mond mdogo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…