God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
- Thread starter
- #61
jione kwanza kiherehere kamwa mwanamke wa pwani, acha mdomo weweKenge Wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jione kwanza kiherehere kamwa mwanamke wa pwani, acha mdomo weweKenge Wewe.
jione kwanza kiherehere kamwa mwanamke wa pwani, acha mdomo wewe
Na kupata pesa sio kwamba wewe ni mjanja zaidi kuliko wengne , siku zote mtu akipata ataitwa majina mengi mno na sifa kibao,, kwamba ana akili anajituma kumbe wap!!!? Mungu akipanga upate na utapata tu....Diamond ni wa kawaida sana. Sema yeye ni maarufu tu. Kuna vijana wengi wako vizuri kifedha kuliko Mond. Ila hawataki kiki.
me and I Nyerere 11 na Daudi Mchambuzi hebu pitieni hapa musome na kama vipi msikilize na kuangalia hii video sio mnapenda kuangalia mabaya bila kujenga hoja zenye mashiko.
Mama Diamond hapendezwi na hiki mitandaoni kuhusu Mwanae.. - millardayo.com
Yes,naisubiria video (tena naamini itakuwa ya hivi karibuni kati ya mwaka 2015 -2016 ) ndio utakuwa ushahidi wa uhakika,lakini sio hayo magazeti ya Shigongo. Ole wako usiweke hiyo video hadi kufikia kesho 11/9/2016, utakuwa NI MWENYE CHUKI YA MAFANIKIO YA MWENZAKO.Mkuu baba yake kafanyiwa mahojiana kasema hapewi msaada wowote na alimwomba jamaa msamaha mara nyingi lakini jamaa anampotezea ikabidi mzee wake atafute vibarua vya kumenya chips uswazi View attachment 397646sasa kuna haja gani ya kutaka sifa kwenye mitandao ametoa mabilion kwa waarabu huku baba yake anateseka uswazi,sasa sijui siku baba yake kapoteza uhai kwa kukosa matibabu atakuwa na nguvu ya kutoa mchango wakati sasa hiv mzima kampotezea!video naiweka hapo chini uone mzee anavyofunguka[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Baba yake anaoza miguu ampeleke kwenye matibabu kunusuru uhai wake.
ni Tafari Makonen au Haile Sellasie wa Bongo fleva!Ndio nani huyo wakuu?
Mkuu baba yake kafanyiwa mahojiana kasema hapewi msaada wowote na alimwomba jamaa msamaha mara nyingi lakini jamaa anampotezea ikabidi mzee wake atafute vibarua vya kumenya chips uswazi View attachment 397646sasa kuna haja gani ya kutaka sifa kwenye mitandao ametoa mabilion kwa waarabu huku baba yake anateseka uswazi,sasa sijui siku baba yake kapoteza uhai kwa kukosa matibabu atakuwa na nguvu ya kutoa mchango wakati sasa hiv mzima kampotezea!video naiweka hapo chini uone mzee anavyofunguka[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Wakati ukiendelea kuutafuta uongo ambao hautoupata hebu angalia haya mahojiano ya Clouds TV na Baba yake DIAMOND na uone jinsi alivyomsifia mwanawe tofauti na inavyoandikwa kwenye magazeti.

tuko pamoja mkuu nakuunga mkono. tena diamond ndo keshavaa damu ya mama yake ya umalaya ndio maana anatembea na wanawake wengi.Diamondi kumtelekeza dingi yake ni ukilaza nisio unga mkono kabisa
Kila mtu ana malengo yake, ikiwa hilo la kugegeda ni moja ya malengo yake, basi amefanikiwaHivi kutafuta ni pamoja na kugegeda sana wadada?
mbona baba mondi anasema sababu ya kuachana na mama ni wsababu mama alikua anatembea na salum kama sijakosea? fatilia hiyo visdeo hapo juu. na huyo salim hadi leo anamla mama mond mdogo mdogo.Wakati diamond na mama yake wanakimbizwa mitaani na migambo baba yake alikua anabadili wanawake kama chupi leo na yeye ni zamu yake ya kula msoto wakati d akibadili kama pipi,what goes around comes around,hapa hata laana haipo,ukibisha muulize hata kiongozi wako wa imani.