nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
Nlikua shabiki mkubwa sana wa bwana mdogo diamond ila kwa post yake ya kikabila leo nimemdharau sana. ..ckatai yy kushabikia CCM Bali maneno yake yanaweza kuwa na impact kubwa sana kwa jamii yaje yatokee mambo yaliyotokea Rwanda uko...kweli nimeamini mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa. ..laiti angekua tandale cdhani kama angeweza kuandka utumbo kama huo. ..watanzania tunateseka kwa mfumo mbovu uliopo nchini. ..laiti Zari Angejifungulia hospital za gvt ndo angejua utumbo anaoushabikia...