Diamond analeta ukabila nchini

Diamond analeta ukabila nchini

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Nlikua shabiki mkubwa sana wa bwana mdogo diamond ila kwa post yake ya kikabila leo nimemdharau sana. ..ckatai yy kushabikia CCM Bali maneno yake yanaweza kuwa na impact kubwa sana kwa jamii yaje yatokee mambo yaliyotokea Rwanda uko...kweli nimeamini mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa. ..laiti angekua tandale cdhani kama angeweza kuandka utumbo kama huo. ..watanzania tunateseka kwa mfumo mbovu uliopo nchini. ..laiti Zari Angejifungulia hospital za gvt ndo angejua utumbo anaoushabikia...
 

Attachments

  • IMG-20150823-WA0012.jpg
    IMG-20150823-WA0012.jpg
    97.4 KB · Views: 1,853
Acha kujitoa ufahamu wewe. Shukuru na Umshukuru sana DIAMOND kwa kulisema hilo. Ni wakati wa CHADEMA kujirekebisha.

Tatizo hilo lipo na linaiangusha sana CHADEMA.

Ukweli daima ni MCHUNGU.
 
Nawewe leta unachoona sawa nchini kwa nafasi yako.
 
wadau kwa yeyote aliemaliza form four na kufaulu hana haja ya kusikiliza sera za ndomo
 
Wewe Sumbai kwani una umuhimu gani kwa Diamond?
Usipihe tu hiyo kura
Kwani kuna aliyekutuma umpigie?? Hako kakura kako kamoja kaa nacho. Halafu tuone kama kitamzuia DIAMOND kupiga hela kama kawaida yake. Umasikini wa mawazo na wivu tuu ndo unaowasumbua.
 
daimond kwa level aliyopo sasa hivi alitakiwa asiwe chini ya wale vichaa kina tale waropokaji wanaandika vijembe mipasho dogo kaiga na yeye
 
daimond kwa level aliyopo sasa hivi alitakiwa asiwe chini ya wale vichaa kina tale waropokaji wanaandika vijembe mipasho dogo kaiga na yeye

Kumbe una akili sometimes chukua fursana ya baridi nitalipa
 
Post ya dangote haina shida yeyote! Huyo aliesema anaenda kuwafundisha siasa na mnashangilia' wengine ni mijizi hata kuongea hawezi na bado mmewakumbatia! Ipoje iyo
 
Hebu nyinyi mnaolalamika ileteni jamvini tuone ubaya wake. Tatizo UKAWA mnataka kila mtu afikiri sawa na nyinyi
Akiwa tofauti mnaumiaaa sana.
 
Back
Top Bottom