Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa.
Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue.
Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri walikuwa wanafanya wanachojiskia kufanya.
Viva Makonda viva.