Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Utapata tabu sana.Chai
Dume zima linasifia dume mwenzako. Huoni aibu?
Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa.
Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue.
Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri walikuwa wanafanya wanachojiskia kufanya.
Viva Makonda viva.
Yeye na makonda wote madako

AiseeYeye na makonda wote madako
ππππππππWasanii sio wakuwaamini .et Harmonize yuko studio kumsifu makonda sasaivi