kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Shabikia mziki wake maswala ya mahusiano (mapenzi) ni mambo yake binafsi.Ninaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????
Mke wake alimuoa lini??Ninaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????
Hapo sasaMke wake alimuoa lini??
Yeah jamaa anapush sana mziki wakeHongera kwa juhudi zake...
Nyie ndio mnashabikia uzinzi. Kesho na kesho kutwa anabaki na 2kg mnabaki kusema tulimuambia huyuMke wake alimuoa lini??
Wa seduzi namba ngapi?Ngoma yake mpya hallelujah, aliyo washirikisha morgan heritage inashika namba moja iTunes kwa mauzo ikifatiwa na love you die aliyoshirikishwa na patoranking kutoka nigeria.
Isha expire iyo maana ata youtube tu imeganda pale pale imebakia kupigwa EATV na EA RadioWa seduzi namba ngapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbio za vijitiIsha expire iyo maana ata youtube tu imeganda pale pale imebakia kupigwa EATV na EA Radio
Maisha binafsi Yanakuhusu nini !!Ninaanza kumpuuza diamond kutokuwa na nidham kwa mke wake Zari
Sijui ni kukosa shule au tabia za kiswazi????
Wabongo kazi ni kudownload tu kutoka kwenye viblogu uchwara pamoja na utimu usiokuwa na support ya kweli (zaidi ya kutukanana hakuna kingine..)Ngoma yake mpya hallelujah, aliyo washirikisha morgan heritage inashika namba moja iTunes kwa mauzo ikifatiwa na love you die aliyoshirikishwa na patoranking kutoka nigeria.
Kashikwa pa baya round hii..Mange anasemaje?
Pengine ndo atakua wa kwanza kuanzisha thread ya kumpa pole na lawamaNyie ndio mnashabikia uzinzi. Kesho na kesho kutwa anabaki na 2kg mnabaki kusema tulimuambia huyu
Yule Mkimbizi Roho inampasukaMange anasemaje?
Aya mkuu imepikwa iyo.Mtakua mmepika hiyo mambo hapo mbona seduzi me siuoni hapo
Mpk mange aanzishe upya challenge yake labda ataufufua tena maana ushajifia kitambo....bado mazishi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbio za vijiti