Diamond anaongoza kwenye mauzo ya iTunes top 200 songs kwa upande wa Kenya

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Ngoma yake mpya hallelujah, aliyo washirikisha morgan heritage inashika namba moja iTunes kwa mauzo ikifatiwa na love you die aliyoshirikishwa na patoranking kutoka nigeria.
f7fc0dd0fe4a20e8825ae289a21abdaf.jpg
 
Wa seduzi namba ngapi?
 
Ngoma yake mpya hallelujah, aliyo washirikisha morgan heritage inashika namba moja iTunes kwa mauzo ikifatiwa na love you die aliyoshirikishwa na patoranking kutoka nigeria.
f7fc0dd0fe4a20e8825ae289a21abdaf.jpg
Wabongo kazi ni kudownload tu kutoka kwenye viblogu uchwara pamoja na utimu usiokuwa na support ya kweli (zaidi ya kutukanana hakuna kingine..)

Hongereni wakenya kwa kuonyesha support ya kweli.. Tuacheni sie wabongo na unafiki wetu..! [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbio za vijiti
Mpk mange aanzishe upya challenge yake labda ataufufua tena maana ushajifia kitambo....bado mazishi tu
 
Back
Top Bottom