Diamond anapata wapi kiburi cha kuidharau BASATA na kuimba wimbo uliopigwa marufuku?

BASATA NDIO KITU GANI?
WALIUFUNGIA WIMBO WA NYEGEZI LEO NAMWONA NAIBU SUPIKA ANAUIMBA NA KUCHEZA BILA HATA SONI. TENA ANATAMKA KABISA nyege nyege nyegez
 
BARAZA LA SANAA TANZANIA (BASATA)... ONLY FOR TANZANIAN, NA LINAFANYA KAZI NDANI YA TANZANIA TU
 
Tafuta pesa acha kufuatilia maisha ya watu.... Utakufa maskini na roho mbaya yako
 
Kama watunga sheria za nchi wapo busy na NYEGEZI wewe hizo sheria unazotaka zichukue mkondo wake kwa Diamond unajua kuwa hao BASATA wanaweza kutungiwa sheria ya kumsalimia Diamond na kutakiwa kuuimba huo wimbo kabisa na wao
 
MWENYEKITI WA KAMATI YA ROHO MBAYA, HUSUDA, FITNA, WIVU, NA FIGISU FIGISU KATIKA UBORA WAKO!
 
Acha roho ya kichawi we lazma utakuwa team k........ Ba
 
Mkuu nasikia Leo wabunge wakiongozwa na naibu spika walikuwa wakicheza hiyo nyimbo.
Sasa washitaki na hao wabunge kwa basata.
Fanya ya kwako roho mbaya haisaidii
Kosa limefanyika nje ya Tanzania. Watashtakiwa kwa sheria za huko Burundi ambako hakuna BASATA.
 
Sheria za nchi huwa hazivuki mipaka, hutumika katika nchi husika tu.
Jaribu jingine labda utafanikiwa.
 
Kama ni kweli basi akamatwe na anyongwe tu. Huwezi dharau serikali.
 


Kilicho haramu MACCA SI HARAMU VATICAN na kinyume chake.
Kwa hiyo muda mwingine tumieni kichwa kwa kazi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…