Diamond anapata wapi kiburi cha kuidharau BASATA na kuimba wimbo uliopigwa marufuku?

Diamond anapata wapi kiburi cha kuidharau BASATA na kuimba wimbo uliopigwa marufuku?

BASATA hawana uwezo wa kupambana na diamond lasivyo watafukuzwa wote
 
hilo la kenya linaweza kuwa sawa maana huko kuna mamlaka zingine na sheria zao, mimi kilichonichosha ni week iliyopita diamond alikuwa na show mtwara (wasafi festival) na basata walikuwepo uwanjani lakini wimbo ulipigwa kama kawaida!!
 
Unaweza ukaweka clip, manake hii nyimbo haijawahi kupigwa kwenye jukwaa lolote Tanzania ,kama unabisha kaangale post aliyoiposti Babutale kuhusu wale wabunge,kuna maelezo ameyaandika pale.

yyy.PNG
 
Kwahiyo unatakaje sasa mkuu!
Jana usiku nimesikia wanangu wakiimba huo wimbo ten ani mabinti wana umri w akati ya miaka 4 hadi saba .kwa tejnolojia ya leo huo wimboi ukiruhiswa kuemedlea kupigwa kwa minajiri eti sheria za BASATA hazifuki mikapa ya Tanzania tutakuwa tujajidanganya wenyewe..kwani lengo la BASATA halikuwa kuzuia wimbo huo usipigwe nchini bali ni kusadia jamii kuzoea maneno ya matusi hasa kwa vijana wadogo..na ndio maana yeye mwenyewe alikubali kuwa alifanya kosa ...sasa kama kweli kuna mtu hapa anapenda kuona binti yake akiwambia vijana wenzake wakiume shuleni hasa lile neno la nyeggezi basi aendelee kusifia upuuzi wa Diamond!
 
Kama inavyofahamika kwamba hivi karibuni baraza la sanaa Tanzania (BASATA) liliufungia wimbo wa "Mwanza" ulioimbwa na mwanamuziki Diamond kutokana na maneno ya matusi aliyoyangiza makusudi kwenye wimbo huo..katika kuufungia wimbo huo BASATA walieleza wazi (kama inavyoonyesha barua ambatanishi) kuwa msanii Diamond hatakiwi kuutumia huo wimbo huo tena kwa vyovyote vile na vyombo vya habari pia vilionywa visiutumie kamwe lakini katika hali ya kushangaza jana usiku akiwa jukwaani nchini Kenya aliuimba huo wimbo...Swali je wapi Diamond anapata kiburi cha kutofuata masharti ya BASATA.. Natumai kwa dharau hizi alizoonyesha BASATA watamfungia si chini ya miezi sita kufanya shoo zake tena waanze kesho...

Jana usiku nimesikia wanangu wa kike wakiimba huo wimbo tena ni mabinti wana umri wa kati ya miaka 4 hadi saba .kwa tejnolojia ya leo huo wimbo ukirushwa popote pale unasambaa dunia nzima (hasa you tube) kwa hiyo mtu kusema eti sheria za BASATA hazivuki mikapa ya Tanzania ni kujidanganya wenyewe na huo utakuwa ni "uzwazwa" wa hali ya juu. Nijuavyo mimi lengo la BASATA halikuwa kuzuia wimbo huo usipigwe nchini bali ni kusadia jamii kutozoea maneno ya matusi hasa kwa vijana wadogo..na ndio maana yeye mwenyewe (diamond) alikubali kuwa alifanya kosa ...sasa kama kweli kuna mtu hapa anapenda kuona binti yake akiwaimbia vijana wenzake wakiume shuleni hasa lile neno la nyegezi basi aendelee kusifia upuuzi wa Diamond! Natumai huu upuuzi wa juzi Thika -Kenya kama angekuwa kaufanya Roma Mkatoliki ungewasikia leo BASATA.....washamfungia si chini ya Miezi sita (6)
 
Kwanza huna taarifa sahihi hakuwa nairobi ila thika, alafu huko sio Tanzania ni kenya.
.
Yani anaweza kuimba hiyo nyimbo OPBS ya namanga kenya ambayo ipo mita mia tatu toka OPBS ya Tanzania na asifanywe lolote kwa sababu mamlaka ya basata yapo ndani ya tanzania tu.
.
Hata shilole alivyocheza uchi ulaya hakufanywa lolote zaidi ya mkwara wa kumtishia kinyago mtoto
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujibu kila ukionacho...ukishiba saana unaweza ukajisaidia haja kubwa mbele ya Mama mkwe....
 
clip zipo mkuu, inbgia tu youtube u-search utaziona zote!!!
Sijaona kitu kama hicho,ila kama wewe uliona unaweza ukaweka link na kama ingekuwepo tungeona kwani siku hizi youtube channel zipo nyingi .
 
Wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujibu kila ukionacho...ukishiba saana unaweza ukajisaidia haja kubwa mbele ya Mama mkwe....
Nazani unamaisha duni sana na sababu inayopelekea uwe na maisha hayo ni ugumu wako wa kutokubali kueleweshwa/kuongozwa pale ambapo haupo sawa.
.
Ubishi wako unakuponza badilika
 
Back
Top Bottom