Diamond anatumbuiza ufunguzi AFCON, vyombo vyetu vya habari kimyaa

Diamond anatumbuiza ufunguzi AFCON, vyombo vyetu vya habari kimyaa

Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.

Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.

Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.

Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Unajua nini kuhusu mahusiano ya watu na vyombo vya habari?

Kuna tofauti gani kati ya utamaduni wa vyombo vya habari na utamaduni wa jamii?

Unafahamu namna na kiwango ambacho vyombo vya habari wanachuja habari na kuamua namna hadhira inavyopaswa kufikiri?

Unadhani ni kwa kiasi gani vyombo vya habari nchini vinauza utamaduni wa jamii kwa kuzingatia dhana ya biashara inayotawala vyombo hivi?

JIBU HAYO KWANZA KISHA NTAKUIBIA SIRI.
 
Wabongo wahapendi watu wenye mashauzi. Aache mashauzi aone jinsi wabongo watakavyomthamini.

Ni hayo tu.
 
Bado hajafikia level ya kuwa mkubwa kukiko media, mfano tu show yake ya wasafi kutwaliwa na Ruge na clouds fm na hana ubavu wa kuwakatalia kitu clouds ...
Hata tuzo za EATV ni hao clouds ndo walimkataza kushiriki

Kwahiyo Diamond kwa clouds ni sawa na paka mbele ya mbwa
Unaamini ulichoandika
 
Wabongo wanadhani bidhaa ni vitu "tangible" tu wanasahau UINGEREZA wanaiuza ligi yao kama bidhaa.

Tunalipia ving'amuzi. ...tuna bet kwenye mpira tu.

Kama hatuna viwanda hata sanaa nayo ni bidhaa.
 
diamond angekuwa ni mkenya na ndio anapata mashavu kama haya mngeona muziki wake. wangemtangaza dunia yote ingekoma lakini ndio hivyo bahati mbaya katokea nchi ya wenye roho za kwa nini yeye tu kila siku anajifanya yeye ndio anajua sana sasa tunataka mwingine ili tumuonyeshe tuna nguvu ya kumrudisha kwenye maisha ya tandale
sentensi zako za mwisho[emoji122][emoji122][emoji122]
hapo ndipo vita ilipo..
ndicho wenye wivu wanachokitaka.
 
Bado hajafikia level ya kuwa mkubwa kukiko media, mfano tu show yake ya wasafi kutwaliwa na Ruge na clouds fm na hana ubavu wa kuwakatalia kitu clouds ...
Hata tuzo za EATV ni hao clouds ndo walimkataza kushiriki

Kwahiyo Diamond kwa clouds ni sawa na paka mbele ya mbwa
Yesu!!!!
naona we we ni CCTV ya madale & clouds
hivi mnawezaje kujiaminisha mawazo yenu????
hapo ndipo waTz tunapokosea, ndipo tunapokua 4:1
tunapoambiwa tunatumia 1%ya akili zetu.
kwahiyo wataka kutuambia diamond anaweza kwenda kupanga mistari kuchukua from ya tuzo za fitina?
Ana tuzo ngapi kubwa?
em fikirieni jamani[emoji23]
kwahiyo diamond asiende kupeleka matangazo clouds ili wasio na Instagram wayapate?
huyo Rugs Mutahaba ni nani hasa mpaka aonekane bila yeye MTU hakiki?
alipofika diamond sio pa kusema ruge mutahaba ndo Mungu wake.. huyo Rugs mwenyewe mnafiki tu... wala hafurahii maendeleo yachibu!!!
kwahiyo inamaana show za nje , wadhamini wanamuoneaga diamond cloudz TV ? ndio wanampa shavu?
kwahiyo wataka sema bila cloudz diamond hakuna?
diamond in bidhaa bora baba,lazima wamfate fate!! bila diamond kwa sass huuzi..
 
Me kupata mkuu
 
Watu bukoba huku tunahasira tunalala kwenye nyumba nusu iliyobomoka na tunaambiwa tumeziongeza kuzibomoa wenyewe hewara tu Diamond aendelee tu kujituma kwa faida yake... Alichotuchangia tuna sema asante ila tumenyang'anywa kidogo tulichochangiwa- wanabukoba
 
Yaani darasa huyu mtu mbaya sana, toka atoe muziki wake mh! Kwa jirani hakukaliki, jirani kapata mtoto kimya hakuna anaejali watu wanacheza muziki, jirani kaja na kokoro kimya watu wanacheza muziki, jirani anafanya shoo ya uzinduzi sijui wapi huko kimya watu wanacheza muziki.
 
Hilo siyo tatizo mbona kila day Diamond anatajwa katika tuzo za Kora wiki ilopita alikuwa wa 7 Jose wa 14.
Na wiki hii wamechaguliwa wasanii wakitanzania 2 tu.
Kushiriki katika tuzo za Kora.
Hii ni list ya jumla afrika mashariki walochaguliwa ili kuingia kwenye vinyang'anyiro vya wiki katika tuzo za kora.
4a0e29ddb8ea5bee27fe2fc78a567aed.jpg
 
Wabongo wahapendi watu wenye mashauzi. Aache mashauzi aone jinsi wabongo watakavyomthamini.

Ni hayo tu.

Acha wivu, mnataka hasiishi na kufurahia maisha yake kama vile umemsaidia kusaka pesa.
 
Tukumbushane na kurushiana link za mitandaoni, kama wengine hawatakuwa karibu na TV.
 
Acha wivu, mnataka hasiishi na kufurahia maisha yake kama vile umemsaidia kusaka pesa.
Pole yako.
Hana cha kunisaidia huyo. Niwe na wivu juu yake kwa ajili gani.

Aendelee na mashindano yake.
siye tunapiga mziki

C.c CMG
 
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.

Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa msanii wa kwanza na pengine asitokee mwingine kutumbuiza uzinduzi wa mashindano ya AFCON. Lakini vyombo vyetu vya habari kimyaa kama hichi kitu ni cha kawaida. Sio blogs sio magazeti sio radio sio Tvs.

Wazalendo wa nchi hii tulitegemea hii habari iwe kubwa ili kuinspire hata wasanii wengine na vijana kwa ujumla. Lakini chuki roho mbaya majungu uswahili na utimu unatusumbua na kuturudisha nyuma wabongo.

Ndio maana Mrisho mpoto aliamua akaiwakilishe Kenya maana sisi wabongo buana!
Siasa ultka vyombo vya hbal vfanyeje vilushe live WAP iliona show za nje znarushwa live na television nchn
 
Wewe siwezi hata kukujibu wewe.

What is team Kiba? Nayajua mimi hayo? Usichanganye kila mtu na kufuata mkumbo kwenu huko

Wajinga Sana Hawa wanadhani kila mtu yuko bize na huo diamond wao watu wako bize na mambo Yao ovyooo
 
Back
Top Bottom