Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Mkuu unajua bei ya show moja ya Mondi akiwa nje?unadhani kwa nini hapigi mara nyingi bongo?unajua kalipwa sh ngapi kuitangaza black bottle?dogo kayatoa maisha acha nyodo za kibongo!kupanga haimaanishi umaskini kama unajua kiuchumi nini liabilities na assets
 
Msanii namba moja?

Umemlinganisha na wapi wengine?
 
Hongera Sana wasafi kwa kununua Mjengo wa biii moja #Mange_Kasema_Resty_John_Jela_Money_Laundering
 
Mkuu hakuna anaebisha hana pesa ila dalali anageuza maneno kua kanunua,hiyo nyumba ingekua inauzwa kitambo watu wangelipia wameivizia iuze alipopata case ya ml...dalali wke ndio muongo chibu hajasema kanunua hiyo nyumba
 
Nimekuelewa ila kuna sehemu umesema Mondi asingeishi Madale kwenye maji!tuache mizengwe ya Kiswahili huyo dogo anaweza kuishi popote Dar kwa sasa!
 
Nimekuelewa ila kuna sehemu umesema Mondi asingeishi Madale kwenye maji!tuache mizengwe ya Kiswahili huyo dogo anaweza kuishi popote Dar kwa sasa!
Mkuu chibu anapambana sana hilo liko wazi,cku zote mpambanaji husifiwa mimi huwa nampa sifa zake anazostahili...ila hiyo nyumba kununua ni katoo za huyo dalali wke..hiyo nyumba kuna watu wanaitaka kitambo ila dogo hauzi na case yke haina ushahidi atatoka...ndio mpigaji mwenye nyumba ya gharama kuliko hata ndama na msofe
 
Napata kesi ya mwenye nyumba yawezekana amelegeza huwezi kujua
 
Alikua mpigaji kwenye ishu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…