Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Jamani hii nyumba siyo ya diamond ila kapangisha kwa ajili ya ofisi ila kwa biashara ya tv mhh oprah alisalenda
 
Siamini yaani Diamond na familia yake wanavyopenda sifa ajenge nyumba hadi kufikia hapo tusijue? Labda kama kanunua
Hilo jumba lipo mbezi beach napafahamu vyema, kuna kipindi zilikua zinauzwa na nyingine kukodishwa zimejengwa muundo wa villa...
Hongera zake kama amenunua
 
Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri

Fikiria kwa jicho la 3 Clouds hana mpinzani diamond akitulia na akamanage vizuri clouds tutamsahau
 
Yaani kabalaa Nyumba Ya Alikiba Haijakiki sanaaa Watu wameshaizimaa watauana kwa Pressure hawa
 
Hakuna ukweli apoo.... nyie wabongo mnashoboka tuu... diamond awe na mjengo wa ivoo.. anavopenda sifa wakati anajenga siangejitangaza..... Sanukaa mnatoa udenda kwenye hamnaaaa
Si kaonyesha au kafanyaje.....alafu nyumba siyo lazima ujenge unaweza ukanunua iliyojengwa maana kuna watu wanajenga nyumba za kuuza
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Ana ofisi ya wapi? Hana bidii,hana pesa ,hana kujiongeza ila saut anayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…